Lukemia

Lukemia ni kansa ya seli nyeupe za damu na uboho wa mfupa.

Kama mtu akiwa na lukemia, mwili huunda seli nyingi nyeupe za damu (kwa Kiingereza leukocytes) .

Seli za mtu mwenye lukemia
Seli za mtu mwenye lukemia

Kuna aina nyingi za lukemia. Lukemia ni mojawapo ya magonjwa makubwa ya damu (kwa Kiingereza hematological neoplasms). Lukemia inaweza kusababisha kifo ndani ya wiki, miezi, au miaka kama isipotibiwa. Maisha ya mtu hutegemeana na aina ya lukemia.

Mwaka wa 2000, watoto na watu wazima 256,000 duniani kote walipata aina fulani ya lukemia, na 209,000 walikufa kutokana na hiyo aina, wengine waliendelea kuishi. Takribani asilimia 90 ya lukemia zote huonekana kwa watu wazima.

Lukemia Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lukemia kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DamuKansaKiingerezaMtuMwiliSeliSeli nyeupe za damu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NominoKondoo (kundinyota)Tupac ShakurFalsafaIsimuFamiliaTashihisiMalawiMagonjwa ya kukuAbrahamuLigi ya Mabingwa AfrikaFigoSaida KaroliKombe la Mataifa ya AfrikaMaadiliMkoa wa ManyaraVita Kuu ya Pili ya DuniaTeknolojia ya habariIntanetiUnju bin UnuqMfumo wa JuaSayansiMuda sanifu wa duniaYouTubeIniNeemaIndonesiaAganoKaabaKipaimaraOrodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaWamandinkaMsalaba wa YesuMtakatifu PauloMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaSaddam HusseinTetekuwangaBenjamin MkapaPasaka ya KikristoUandishi wa ripotiVirusi vya UKIMWIKoreshi MkuuMbeguYoung Africans S.C.Majira ya baridiSomo la UchumiMkoa wa MtwaraUhifadhi wa fasihi simuliziKutoka (Biblia)WangoniVieleziLongitudoTanzaniaMakkaMeena AllyGhanaUsiku wa PasakaUbaleheSteven KanumbaArusha (mji)Uwanja wa Taifa (Tanzania)Wameru (Tanzania)Mkataba wa Helgoland-ZanzibarAli Hassan MwinyiTenziKishazi tegemeziKondomu ya kikeIsaOrodha ya nchi za AfrikaKamusi ya Kiswahili sanifuMkoa wa NjombeWagogoNomino za wingiAntibiotikiNdiziMaisha🡆 More