Luka wa Demenna (Demenna, Sicilia, 918 hivi - Armento, Basilicata, 13 Oktoba 984) alikuwa mmonaki kwanza huko Sicilia, halafu sehemu mbalimbali kufuatana na uvamizi wa Waarabu wa kisiwa hicho alipozaliwa, na hatimaye abati wa Ukristo wa Mashariki katika Italia Kusini ya leo, hadi alipofariki katika monasteri aliyoianzisha mwenyewe.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Februari.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Luka wa Demenna, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.