Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Waarabu" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Waarabu (kwa Kiarabu عَرَبِ, matamshi ya Kiarabu: [ʕarabi]) ni watu ambao lugha mama yao ni Kiarabu wakijitambua vile. Kiasili walikuwa watu wa Bara Arabu... |
Ugomvi wa Waarabu na Israeli (kwa Kiarabu: الصراع العربي الإسرائيلي, Aṣ-Ṣirāʿ al-ʿArabī al-'Isrā'īlī; kwa Kiebrania: הסכסוך הישראלי-ערבי, HaSikhsukh HaYisre'eli-Aravi)... |
na Wavandali, Waarabu, Wahispania, Waturuki na Wafaransa. Tarehe 20 Machi 1956 ilipata uhuru. Wakazi karibu wote (98%) wanajiita Waarabu na hutumia lugha... |
wa Aljeria na Dola la Roma lililoitawala kwa karne nyingi hadi kuja kwa Waarabu katikati ya karne ya 7. Utawala wa Roma ulivurugika baada ya Wavandali... |
kipindi cha karne ya 7. Waarabu, na baadaye kabila la Wakurdi, walianza kuloea Armenia hasa kwa kufuatia uvamizi wa Waarabu na kucheza nafasi kubwa kiitikadi... |
la Waarabu Waislamu likiongozwa na jemadari Tariq ibn Ziyad linavuka mlango wa bahari wa Gibraltar na kuanza uvamizi wa Hispania. 19 Julai - Waarabu wanashinda... |
Muhammad (Maka, 570 - Madina, 632) anaanzisha dini ya Uislamu hukoUarabuni Waarabu wanatoka katika Bara Arabu na kuvamia milki za jirani za Bizanti na Uajemi... |
Uyahudi, na 20.7 % ni Waarabu ambao wengi ni Waislamu (16%) lakini pia Wakristo (2% za raia wote: kati ya Wakristo hao karibu 80% ni Waarabu). Wahamiaji wengi... |
ya mwaka 732 kati ya jeshi la Waarabu Waislamu kutoka Hispania na jeshi la Wafaranki katika Ufaransa ya Kati. Waarabu walikuwa wamevuka mlango wa Gibraltar... |
Mwaka 710 Waarabu Waislamu walifika wakipita Ceuta kuvamia Hispania. Hadi karne ya 14 mji ulikuwa chini ya watawala Waislamu ama Waarabu au Waberberi... |
za Umoja wa Waarabu ni sawa na bendera za Misri, Syria, Irak na Yemen. Pembetatu ya kijani inaonyesha rangi ya nne kati ya rangi wa Waarabu ni rangi ya... |
Waarabu au Waberber wenye asili ya Moroko. Miaka ya nyuma idadi ya Waislamu imeongezeka ambao wengi wao wanapendelea kujiita Waberber kuliko Waarabu;... |
jina hilo kwa jumla ya jimbo lao katika sehemu hizi. Baada ya uvamizi wa Waarabu Waislamu jina liliendelea kutumiwa kwa umbo la Kiarabu "Filastin" na kutazamwa... |
linastawi katika Uturuki wa leo Abrahamu, mfugaji wa kuhahama, baba wa Waarabu na Waisraeli, pia baba wa waamini Wayahudi, Wakristo na Waislamu Wikimedia... |
Wavandali katika Afrika ya Kaskazini halafu ukarudi chini ya Bizanti. Waarabu Waislamu walipovamia Afrika ya Kaskazini mwaka 647 Karthago ulikuwa na... |
Syria (fungu Waarabu na Waosmani) iliyonyoka" au "barabara iitwayo Nyofu" (Mdo 9:11). Syria ilivamiwa na jeshi la Waarabu Waislamu chini ya khalifa Umar I mwaka 636 B.K.. Baada ya ushindi wa Muawiyya... |
ziliendelea zikipigana na Waarabu walivamia na kuteka Misri katika karne ya 7. Polepole Uislamu ulianza kuenea pamoja na wavamizi Waarabu na milki ya Kikristo... |
Kristo). 10 Oktoba - Mapigano ya Tours na Poitiers (Ufaransa) - uvamizi wa Waarabu katika Ulaya ya Magharibi unasimamishwa na jeshi la Wafranki linaloongozwa... |
Aljeria (fungu Uvamizi wa Waarabu) katika karne ya 7 uvamizi wa Waarabu Waislamu ulimaliza kipindi cha Kiroma. Kuanzia mwaka 642 vikosi vya Waislamu Waarabu kutoka Misri walishambulia eneo... |
Kiarabu, bali yana uhusiano na lahaja na vilugha mbalimbali zinazotumika na Waarabu wa sehemu fulani ya nchi au mji. Ama lugha rasmi ya Kiarabu basi imedhibitika... |