Jengo Kuba

Kuba (Kar.

Jengo Kuba
Muundo wa kuba

Ni sifa inayolenga kuonyesha umuhimu maalum wa jengo hili. Hivyo ni hasa makanisa, misikiti na majengo makubwa ya serikali zinazopambwa kwa kuba juu yake. Pamoja na hayo kuba inaweza kupazia sauti ya mseamji chini yake hivyo imesaidia kwa kusudi la kuwahotubia watu wengi.

Kati ya Waswahili wa Afrika ya Mashariki kuna desturi ya kupamba makaburi ya watu muhimu kama mashehe kwa kujenga kuba juu yake.

Historia

Kuba zilijulikana tangu zama za kale katika Uhindi na katika mazigira ya Mediteranea. Hekalu ya Pantheon katika Roma ya Kale ilikuwa kuba kubwa duniani kwa miaka mingi. Katika karne ya 6 kanisa kuu la Hagia Sofia lilijengwa mjini Konstantinopoli. Kanisa hili ilikuwa kielelezo cha makanisa mengi yaliyojengwa baadaye. Baada ya kuingia kwa Waturuki katika eneo la Konstantinopoli walitumia kuba lake pia kama mfano kwa ajili ya misikiti mikubwa na hivyo kuba imekuwa sifa ya misikiti mingi.


Picha

Jengo Kuba  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kuba (jengo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kar.

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

AdhuhuriDiniShinikizo la juu la damuKisimaEdward SokoineUtamaduni wa KitanzaniaMaadiliMfumo wa JuaMafurikoDubaiMnjugu-maweMaana ya maishaNetiboliMaajabu ya duniaMkoa wa KageraMarie AntoinetteMaisha ya Weusi ni muhimuShetaniViwakilishi vya pekeeWanyamaporiUkimwiUchambuzi wa SWOTWilaya za TanzaniaMizimuHarakati za haki za wanyamaBinadamuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuNgonjeraMkoa wa MbeyaUsafiriTaasisi ya Taaluma za KiswahiliSikioKiumbehaiWilaya ya KinondoniUfugaji wa kukuDaudi (Biblia)NadhariaKamusi ya Kiswahili sanifuPopoRisalaTaifaMapinduzi ya ZanzibarKamusiEverest (mlima)Bendera ya TanzaniaNenoMkoa wa KataviKamusi za KiswahiliFatma KarumeUandishi wa ripotiEe Mungu Nguvu YetuKiongoziUtegemezi wa dawa za kulevyaAfrika ya MasharikiVita Kuu ya Kwanza ya DuniaSimbaMauaji ya kimbari ya RwandaDhima ya fasihi katika maishaSayansiMwanamkeJKiraiMpwaBustani ya wanyamaTaswira katika fasihiKamala HarrisUkoloniKiimboMwakaAzimio la ArushaMatumizi ya LughaRushwaKenyaMfumo wa lugha🡆 More