Kiwolofu

Kiwolofu ni lugha iongewayo nchini Senegal, Gambia, na Mauritania.

Lahaja za Kiwolofu zinaweza kufanana sana kati ya nchi hizo, zikiwa sambamba kabisa kitabia na hata kuongelewa kieneo.

Kiwolofu
Maeneo ya Kiwolofu.
Kiwolofu kinavyosikika.

Lugha hiyo ipo kama lugha jirani ya Kifula inayohesabiwa kati ya lugha za Kisenegambia ya familia ya Lugha za Kiniger-Kongo.

Ni lugha hasa ya Wawolofu, lakini nchini Senegal haizungumzwi na Wawolofu tu, bali hata Wasenegal wengine huzumgumza lugha hiyo; hivyo karibuni asilimia 40 ya wakazi wake huizungumza kama lugha mama.

Idadi ya wasemaji kama lugha mama ni takriban milioni 3.2 na karibu idadi ileile hutumia Kiwolofu kama lugha ya pili.

Kuna lahaja mbalimbali kama vile "Dakar-Wolof". Dakar ni mji wenye watu mchanganyiko, yaani kuna waongeaji wa Kiwolofu, Kifaransa, Kiarabu, na hata Kiingereza huzungumzwa kidogo katika mji huo ambao uko nchini Senegal; hivyo Kiwolofu chao ni cha mchanganyiko.

Maeneo mengine ya Kiwolofu ni kama vile:

Tanbihi

Viungo vya nje

Kiwolofu  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwolofu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

GambiaLahajaLughaMauritaniaSenegal

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JamiiWasukumaMwezi (wakati)ThabitiJamhuri ya Watu wa ChinaNgome ya YesuBilioniKiambishi tamatiMungu ibariki AfrikaFeisal SalumVMkopo (fedha)UturukiViwakilishi vya pekeeDhima ya fasihi katika maishaMsokoto wa watoto wachangaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMkoa wa TaboraCosta TitchAlasiriIraqMkoa wa ShinyangaLughaVita vya KageraUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaPijini na krioliMaishaTheluthiTanzaniaHifadhi ya mazingiraUbatizoZakaJuaKina (fasihi)Mkoa wa Dar es SalaamMkoa wa ManyaraVivumishi vya -a unganifuVielezi vya mahaliKifua kikuuShirikisho la MikronesiaMisemoNgono KavuRisalaShirika la Reli TanzaniaMichezoWanyama wa nyumbaniYouTubeJangwaShairiSayari ya TisaMzeituniMariooAthari za muda mrefu za pombeSimon MsuvaMaghaniVitenzi vishirikishi vikamilifuRedioDhambiMjiPesaMaadiliRadiRose MhandoMashineLugha ya kigeniKamusi ya Kiswahili - KiingerezaIsraelFur EliseKarne ya 20MchezoNg'ombeTetekuwangaSayansiMaisha ya Weusi ni muhimuOsama bin LadenKichochoHerufi za KiarabuKalenda ya Kiislamu🡆 More