Kikarachay-Balkar ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wakarachay na Wabalkar.
Mwaka wa 2010 idadi ya wazungumzaji wa Kikarachay-Balkar imehesabiwa kuwa watu 305,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarachay-Balkar iko katika kundi la Kiturki ya Magharibi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikarachay-Balkar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kikarachay-Balkar, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.