Kanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia

Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia (kwa Kiamhara የኢትዮጵያ:ኦርቶዶክስ:ተዋሕዶ:ቤተ:ክርስቲያን, Yäityop'ya ortodoks täwahedo bétäkrestyan) ni madhehebu ya dini ya Ukristo iliyotawala watu wa jamii ya Waamhara kwa karne kadhaa hadi sasa.

Kanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia
Kanisa kuu la Utatu mtakatifu, Addis Ababa.

Wakristo hao wanaotaka kuzingatia imani sahihi ni sehemu muhimu katika utamaduni wa Ethiopia na Eritrea.

Kwa sasa ni kubwa zaidi duniani kuliko mengine yote ya jamii ya Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki, likiwa na waumini milioni 45-50. wengi wao wakiishi nchini Ethiopia, lakini pia Mashariki ya Kati, Ulaya na Amerika.

Historia

Kanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia 
Padri wa Kiethiopia akionyesha misalaba kwa ajili ya maandamano ya ibada.

Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia linaendeleza ushirika na Kanisa la Misri tangu lilipoanzishwa na mtakatifu Frumensyo aliyetumwa na mtakatifu Atanasi, Patriarki wa Aleksandria katikati ya karne ya 4 BK.

Hata hivyo mwaka 1959 lilikubaliwa liwe na Patriarki wake mwenyeji na kujiongoza.

Kwa jumla majimbo ni 44 na maaskofu 60.

Kalenda

Kufuatana na mapokeo ya huko Misri, Epifania na Pasaka ni sikukuu muhimu sana, na husherehekewa kwa kufanya mambo kama vile kufunga kula na kucheza.

Pia kuna siku kadhaa katika mwaka ambapo ni mboga za majani pekee na samaki ndio huruhisiwa kuliwa.

Desturi

Ndoa huweza kuanzishwa au kupangwa wakati mwanamume ana umri wa miaka kumi na..., au ishirini na... Kiutamaduni, wasichana wanaruhusiwa kuolewa wakiwa na umri wa miaka 14 hadi 18, lakini katika karne ya 20, mambo yamebadilika, hivyo sasa umri mdogo kuliko wote wa kuolewa ni miaka 18, na suala hili linasimamiwa na serikali. Ndoa za kiserikali ni nyingi japo pia, wapo watu wanaofunga ndoa katika makani mbalimbali. Na baada ya kufunga ndoa kanisani, suala la talaka halipo na haliwezekani. Kila familia hufanya sherehe ya ndoa baada ya harusi.

Tangu kuzaliwa, padri hutembelea familia kwa ajili ya kumbariki mtoto, na pia kutahiri mtoto kama ni wa kiume. Mama wa mtoto, hutakiwa kukaa ndani kwa siku 40 baada ya kujifungua kama mtoto ni wa kiume na kukaa ndani kwa siku 80 kwa mtoto ni wa kike kabla ya kwenda kanisani kwa ajili ya ubatizo.

Sanaa

Kanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia 
Picha takatifu ya Kiethiopia inayowaonyesha Yesu msulubiwa, Bikira Maria na mtakatifu Joji.

Sanaa ya nchini Ethiopia kwa ujumla imeegamia katika masuala ya dini na michoro ya dini.

Mmoja kati ya michoro mizuri zaidi ya vitu au watu wenye macho makubwa na mara nyingi huwa ni watu wanaohusiana na Biblia.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Kanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Kanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia HistoriaKanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia KalendaKanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia DesturiKanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia SanaaKanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia TanbihiKanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia MarejeoKanisa La Kiorthodoksi La Ethiopia Viungo vya njeKanisa La Kiorthodoksi La EthiopiaDiniKarneKiamharaMadhehebuUkristoWaamhara

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ndege (mnyama)Dodoma (mji)Wanyama wa nyumbaniIsimuMsichanaKihusishiBendera ya ZanzibarVielezi vya mahaliNguzo tano za UislamuOrodha ya miji ya TanzaniaMdalasiniUsafi wa mazingiraJanuary MakambaNziTanganyika (ziwa)Makabila ya IsraeliIsimujamiiOrodha ya Marais wa UgandaKilimanjaro (volkeno)Taswira katika fasihiVisakaleHistoria ya IsraelTume ya Taifa ya UchaguziIntanetiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaBinamuMalariaRoho MtakatifuWilaya ya KinondoniKitenzi kishirikishiMkoa wa RukwaNgeliKunguruMahakamaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaUmaskiniMbwana SamattaUtoaji mimbaMkoa wa LindiWachaggaUfaransaOrodha ya Marais wa ZanzibarBurundiSimbaMajiKitenziTabianchiJumba la MakumbushoMkunduDhima ya fasihi katika maishaMtoto wa jichoBiashara ya watumwaUmoja wa AfrikaLugha ya taifaLafudhiKishazi tegemeziViwakilishi vya kumilikiLimauHistoria ya BurundiWallah bin WallahDini asilia za KiafrikaHarmonizeJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaNgano (hadithi)ParachichiUgonjwa wa kuharaUtanzuChristopher MtikilaJulius NyerereVietnamAdhuhuriTafsidaMobutu Sese SekoInjili ya MathayoZana za kilimo🡆 More