Kalenda ya Kiarmenia ni aina ya kalenda iliyoanzishwa nchini Armenia na kutumiwa na watu Waarmenia au wenye asili ya Armenia.
Hesabu yake ya miaka ilianza 552 katika Kalenda ya Gregori.
Mwanzo wa mwaka hutokea wakati wa Julai. Ilikuwa ni kalenda ya jua lenye miezi 12 ya siku 30 na mwezi mmoja mfupi wa siku 5 au 6.
Kabla ya kuwa Wakristo Waarmenia walitumia hesabu ya miaka iliyoanza mwaka 2492 KK.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kalenda ya Kiarmenia, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.