Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni ushirikiano wa nchi za Afrika ya Kaskazini na Asia ya Magharibi.
Ilianzishwa na nchi zinazokaliwa hasa na Waarabu. Imepokea pia nchi kama Komori zisizotumia Kiarabu kama lugha rasmi.
Nchi wanachama ni (pamoja na tarehe ya kujiunga):
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.