Joseph Smith

Joseph Smith, Mdogo (23 Desemba 1805 - 27 Juni 1844) alikuwa mwanzilishi na kiongozi wa Wamormoni.

Joseph Smith
Joseph Smith
Joseph Smith alivyochorwa.
Nchi Marekani
Kazi yake Wamormoni
Joseph Smith
Mpango wa Wokovu kadiri ya Umormoni.

Mwaka wa 1827 alidai kuwa malaika alimtokea na kufunulia maagizo ya Mungu katika kitabu kipya, yaani Kitabu cha Mormoni. Mwaka wa 1830 alikichapisha kitabu hicho.

Miaka ya 1830, makao makuu ya Wamormoni yalianza jimboni Ohio, baadaye jimboni Missouri na kuanzia mwaka wa 1838 jimboni Illinois. Pale Smith Mdogo alitawala kama mwenyekiti wa kijiji mpaka alipouawa na umati wa watu wasiokubali utawala wake.

Alifuatwa kama kiongozi wa Wamormoni na Brigham Young aliyewaongoza Wamormoni kuhamia jimbo la Utah.

Marejeo

Joseph Smith  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1805184423 Desemba27 JuniKiongoziMwanzilishiWamormoni

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DemokrasiaMjiMakkaKonsonantiSaratani ya mlango wa kizaziMfumo wa upumuajiLugha ya taifaMtiDhambiMziziTowashiMkutano wa Berlin wa 1885ThamaniVivumishi vya urejeshiFigoMaadiliMtandao wa kompyutaVidonge vya majiraLongitudoSitiariWahayaRushwaJioniMsumbijiMawasilianoHistoria ya KanisaUfupishoUislamu kwa nchiUhuru KenyattaReli ya TanganyikaNyegereHistoria ya KiswahiliNamibiaMapafuMpira wa miguuShabaniMkoa wa RukwaNgano (hadithi)KoalaKumamoto, KumamotoOrodha ya Marais wa UgandaMkoa wa Dar es SalaamBenderaFamiliaKifo cha YesuMatiniMahindiMkoa wa ArushaAfrika ya MasharikiEthiopiaMtandao wa kijamiiHoma ya matumboInshaHistoria ya Kanisa KatolikiManchester United F.C.Kinembe (anatomia)Afrika Mashariki 1800-1845Ali KibaPasaka ya KiyahudiSimon MsuvaKisaweSteven KanumbaBikira MariaIsimujamiiMuzikiAmaniAsidiMohammed Gulam DewjiMkoa wa KataviSintaksiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaOrodha ya nchi za AfrikaNdiziEswatiniUhuruTashihisi🡆 More