Jangwa La Uarabuni

Jangwa la Uarabuni (kwa Kiarabu: لصَّحْرَاء ٱلْعَرَبِيَّة) ni jangwa lililoko huko Asia Magharibi.

Linafunika sehemu kubwa ya Bara Arabu.

Jangwa La Uarabuni
Jangwa la Uarabuni

Eneo lake ni km2 2,330,000 zinazopatikana katika nchi za Saudia, Yemen, Oman, Falme za Kiarabu, Katar, Kuwait, Jordan, Iraq hadi Misri (rasi ya Sinai).

Wakazi wake wa asili ni Waarabu ila siku hizi kuna wahamiaji wengi sana.

Jangwa La Uarabuni Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jangwa la Uarabuni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AsiaBara ArabuJangwaKiarabuMagharibi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya UrusiMkoa wa DodomaDhahabuSaa za Afrika MasharikiMamaliaKaabaMbuga wa safariNishati ya mwangaMizimuHistoria ya TanzaniaMkoa wa MorogoroUingerezaAlasiriEthiopiaDar es SalaamAbrahamuMaishaViwakilishi vya -a unganifuJumapili ya matawiErling Braut HålandAlomofuMauaji ya kimbari ya RwandaPilipiliVielezi vya namnaMkoa wa KataviWamasaiKishazi tegemeziFIFAMweziProtiniNgono KavuBendera ya KenyaMalaikaFonimuOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMitume na Manabii katika UislamuMamaMawasilianoSimbaJakaya KikweteRaila OdingaBabeliUtawala wa Kijiji - TanzaniaUKUTAUsultani wa ZanzibarDiamond PlatnumzMtandao wa kijamiiLugha ya kigeniMadhara ya kuvuta sigaraFMMnjugu-maweVyombo vya habariSilabiKuraniBiasharaCosta TitchKamala HarrisOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaDubai (mji)Kitenzi kikuu kisaidiziTanganyika African National UnionMapenziWagogoMwanamkeUmaskiniLugha ya piliMkoa wa TaboraMtawaKunguniSomo la UchumiKiarabuWangoniMuungano wa Tanganyika na ZanzibarUsafiriUmoja wa AfrikaIsaMauti🡆 More