Jaipur

Jaipur ni mji mkuu wa jimbo la Rajastan nchini Uhindi.

Mnamo mwaka wa 2011, karibu watu milioni tatu waliishi hapo. Iko mnamo km 300 kusini magharibi kwa Delhi na takriban km 200 magharibi kwa Agra.

Jaipur
Jaipur, jumba la kifalme

Kuna viwanda mbalimbali katika jiji hilo, ambalo pia ni kitovu cha kiutamaduni kinachopokea watalii wengi.

Paoneaanga pa kale pa Jantar Mantar, kitovu cha kihistoria cha Jaipur na Ngome ya Amer vimepokewa katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO. Jaipur ina chuo kikuu.

Ni pia kitovu cha usafiri ambako njia za reli na barabara muhimu zinakutana.

Ni mmoja kati ya miji ya Uhindi ambako uhaba wa maji ya kunywa ni mkali; kufuatana na makadirio maji yanaweza kwisha kabisa mnamo mwaka 2020.

Vyanzo

Tovuti nyingine

Jaipur  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jaipur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

2011AgraDelhiKmKusiniMagharibiMajimbo ya UhindiMilioniMji mkuuRajasthanUhindiWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Dhima ya fasihi katika maishaTungo sentensiSteve MweusiAntibiotikiUkooHadithiKoloniMwamba (jiolojia)Mfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaBungeZabibuSomo la UchumiUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaRiwayaLeonard MbotelaUtandawaziAsili ya KiswahiliKitenzi kikuuMkoa wa TaboraMr. BlueNimoniaTashihisiChama cha MapinduziMeliUlayaWema SepetuVivumishiKitenziMkoa wa KilimanjaroVitendawiliHuduma ya kwanzaOrodha ya makabila ya KenyaWaziriHoma ya mafuaMsamahaMkoa wa ArushaWilaya ya IlalaVivumishi vya pekeeBikiraDalufnin (kundinyota)MoyoMkoa wa LindiKongoshoMfumo wa upumuajiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiMpira wa mkonoKiarabuNikki wa PiliMkuu wa wilayaNgiriMajira ya mvuaPapaLuhaga Joelson MpinaMusaHaki za binadamuNamba tasaNomino za wingiWaluguruBidiiDawatiGoba (Ubungo)PombeNyotaImaniMivighaWanyamaporiMariooIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)MagharibiApril JacksonRamaniAli KibaNgw'anamalundi🡆 More