Jack Dylan Grazer

Jack Dylan Grazer (amezaliwa Los Angeles, California, 3 Septemba 2003) ni mwigizaji wa Marekani, mtoto wa kiume wa Angela Lafever na Gavin Grazer, ndugu wa Brian Gazer.

Jack Dylan Grazer
Picha yake.

Mnamo mwaka 2018 ripoti za Hollywood walimtaja kuwa mmoja kati ya top 30 ya mastar bora walio na umri chini ya miaka 18. Ameigiza filamu kama Shazam, Beautiful boy, It, It chapter two, Dont tell a soul na nyinginezo.

Jack Dylan Grazer Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Dylan Grazer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

20033 SeptembaCaliforniaLos AngelesMarekaniMwigizajiNdugu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

PilipiliMamaliaOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMbwana SamattaUajemiDhahabuUkwapi na utaoMuungano wa Tanganyika na ZanzibarUsawa (hisabati)BaruaShirika la Reli TanzaniaMavaziKiambishi tamatiHuduma ya kwanzaVivumishi vya idadiKatibaChemchemiFani (fasihi)Mpira wa miguuJipuFutiKata za Mkoa wa MorogoroAgano la KaleMadhehebuUsafiriDemokrasiaSaida KaroliRashidi KawawaMadawa ya kulevyaKiraiWaluhyaBustani ya wanyamaKipandausoMaradhi ya zinaaSalaHistoria ya KanisaAmri KumiSubrahmanyan ChandrasekharMbeya (mji)NdovuShahawaBendera ya TanzaniaKibonzoNchiSiafuAli KibaMapenziWilaya ya KinondoniOrodha ya Magavana wa TanganyikaMohamed HusseinKichochoIdi AminUjerumaniNabii EliyaNdoa katika UislamuMajeshi ya Ulinzi ya KenyaJohn Raphael BoccoKamala HarrisAbrahamuPasaka ya KikristoMimba kuharibikaTovutiNembo ya TanzaniaMethaliGeorDavieDamuMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiNamibiaHadithiUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaNguzo tano za UislamuHektariKilimoMautiMkoa wa MbeyaAina za ufahamu🡆 More