Gameti

Gameti (kutoka neno la Kigiriki: γαμετή, gamete, linalohusiana na kitenzi gamein, kuoa) ni kiini cha kijinsia ambacho kinaungana na kiini cha jinsia nyingine ili kutunga mimba katika viumbehai wanaozaliana.

Gameti
Gameti

Gameti hubeba nusu ya habari ya maumbile ya mzazi inayorithishwa kwa mtoto.

Kwa binadamu na baadhi ya wanyama ukubwa wa gameti ni tofauti sana, ile ya kike (ovum, yaani kijiyai) ikiwa mara 100,000 kuliko ile ya kiume (mbegu ya shahawa).

Jina la gameti lilianzishwa na mwanabiolojia wa Austria Gregor Mendel.

Gameti Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gameti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JinsiaKigirikiKiiniKitenziMimbaNenoViumbehai

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa TangaPasakaShabuTausiVita vya KageraMilki ya OsmaniMapinduzi ya ZanzibarKiimboNeemaHifadhi ya Mlima KilimanjaroLahajaAndalio la somoSemiInsha ya wasifuNomino za dhahaniaBakteriaMkoa wa GifuUmoja wa AfrikaJuma NatureKuzimuMafua ya kawaidaVitenzi vishirikishi vikamilifuDVitendawiliNyati wa AfrikaNguvaBendera ya TanzaniaNdoa katika UislamuKungumangaMbwana SamattaWellu SengoNidhamuNgonjeraKizunguzunguMavaziKitenzi kikuuOrodha ya mapapaWilaya za TanzaniaMkoa wa PwaniUpinde wa mvuaNamba za simu TanzaniaWayao (Tanzania)HadithiWalawi (Biblia)MajiVolkenoKombe la Dunia la FIFA 2022Uandishi wa ripotiElimuDemokrasia ya moja kwa mojaHistoria ya UrusiYohane MbatizajiShengTanganyikaWamasaiMeta PlatformsMaster JayVielezi vya namnaWimboUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2005Uzazi wa mpango kwa njia asiliaTumainiMkoa wa DodomaLady Jay DeeUmaskiniUtajiriKitabu cha NehemiaNetiboliNduliWanyakyusaChuchu HansKiarabuUshogaMtume Petro🡆 More