Galapagos

Galapagos ni jina la funguvisiwa ya Ekuador katika Pasifiki takriban 1000 km kutoka pwani la bara ya Amerika Kusini.

Jumla ya visiwa ni 61 kati ya hivi kuna 13 vikubwa. Visiwa vimesambaa katika eneo la 8000 km².

Galapagos
Visiwa vya Galápagos
Galapagos
Iguana ya Galapagos (aina kama kenge)
Galapagos
(Chelonoidis nigra)

Funguvisiwa ni ya asili ya kivolkeno. Visiwa ni mashuhuri duniani kwa sababu ya idadi kubwa ya spishi za wanyama. Charles Darwin alifanya utafiti wa spishi nyingi akapata dhana za kimsingi kwa ajili ya nadharia yake ya mageuko ya spishi.

Visiwa vikubwa ni kama vifuatavyo:

  • Santiago
  • Santa Cruz
  • Floreana
  • San Cristobal
  • Española*
  • Genovesa
  • Santa Fe
  • Isabela*
  • Fernandina
  • Darwin
  • Roca Redonda
  • Marchena
  • Pinta

Viungo vya Nje

Galapagos  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Galapagos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Amerika KusiniEkuadorFunguvisiwaKmKm²Pasifiki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JinsiaUandishiDalufnin (kundinyota)MwanamkeWhatsAppKiingerezaPijiniNgeliBenjamin MkapaChama cha MapinduziMaji kujaa na kupwaUvimbe wa sikioUmoja wa AfrikaPentekosteKupatwa kwa JuaOrodha ya viongoziTanganyika (ziwa)Ufahamu wa uwezo wa kushika mimbaWingu (mtandao)MofimuMajiKhalifaNomino za dhahaniaMazingiraKimeng'enyaAgano la KaleLahaja za KiswahiliSaidi Salim BakhresaViwakilishi vya idadiNgw'anamalundiUwanja wa Taifa (Tanzania)KinyongaNdiziRoho MtakatifuSilabiKanye WestMkoa wa MwanzaKifua kikuuIkwetaMadhara ya kuvuta sigaraWilaya ya KinondoniMwanza (mji)ShetaniMichael JacksonMkutano wa Berlin wa 1885GeorDavieLady Jay DeeSitiariWizara za Serikali ya TanzaniaMvuaWameru (Tanzania)Magonjwa ya machoHafidh AmeirWaheheMbezi (Ubungo)MatiniTume ya Taifa ya UchaguziUandishi wa ripotiHadithi za Mtume MuhammadUyahudiDhamiraSimba S.C.ImaniKanda Bongo ManP. FunkMandhariKanisaSarufiMkoa wa PwaniShahawaSexUzalendo🡆 More