Faustin-Archange Touadéra

Faustin-Archange Touadéra (amezaliwa 21 Aprili 1957) ni mwanasiasa na msomi ambaye amekuwa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati tangu Machi 2016.

Faustin-Archange Touadéra

Hapo awali alikuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo kuanzia Januari 2008 hadi Januari 2013. Katika uchaguzi wa rais wa Februari 2016, alichaguliwa kama Rais katika duru ya pili ya kupiga kura dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani Anicet Georges Dologuelé.

Faustin-Archange Touadéra Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Faustin-Archange Touadéra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1957201621 ApriliJamhuri ya Afrika ya KatiMwanasiasaRais

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MandhariSkeliKitabu cha ZaburiMitume wa YesuMakkaAbedi Amani KarumeVirutubishiOrodha ya Marais wa KenyaHadithiKamusiLigi Kuu Tanzania BaraNomino za jumlaMrisho NgassaKishazi tegemeziVielezi vya mahaliUundaji wa manenoNikki wa PiliUtumbo mwembambaErling Braut HålandMnjugu-maweHifadhi ya mazingiraKinuLahajaKitufeSentensiNamba tasaFigoKarne ya 20MbooHali maadaHerufiVipera vya semiZiwa ViktoriaOrodha ya Marais wa TanzaniaFutariBibliaUtamaduni wa KitanzaniaNgano (hadithi)VKifo cha YesuKumaMapafuSteven KanumbaShinikizo la ndani ya fuvuKiburiMavaziSimu za mikononiKiambishi tamatiMbuniEmmanuel OkwiWilliam RutoUmoja wa MataifaUchimbaji wa madini nchini TanzaniaKadi za mialikoUwanja wa Taifa (Tanzania)Tabianchi ya TanzaniaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaUandishi wa ripotiMwanga wa juaMkoa wa RukwaOrodha ya makabila ya KenyaMadawa ya kulevyaMkoa wa Dar es SalaamKengeUpendoTeziKongoshoMachweoKiwakilishi nafsiVitenzi vishiriki vipungufuFasihiMapenziNairobiMkoa wa KigomaMkoa wa TangaUenezi wa KiswahiliTausi🡆 More