César Cui

César Cui (18 Januari 1835 - 26 Machi 1918) alikuwa mtunzi maarufu wa Opera kutoka nchini Urusi.

Nae ni mmoja kati ya watunzi watano mashuhuri wa Urusi, ambao walipewa jina la utani la “Moguchaya Kuchka” (kwa Kisw. “Watu wenye Uwezo”), watu hao walikuwa Mily Balakirev, Nikolai Rimsky-Korsakov, Modest Mussorgsky na Alexander Borodin. Baba wa Cui’s anatokea nchini Ufaransa na mama yake anatokea Lithuania.

César Cui
César Cui.

Kama ilivyokuwa watunzi wengine wa Kirusi wa karne ya 19, nae huyu alikuwa akifanya shughuli hizi kwa upenzi tu na sio kimapato. Kazi yake rasmi ilikuwa kama fundi katika ngome ya jeshi. Pia alikuwa profesa katika masuala ya kiisimu na alitunga vitabu kadhaa vinavyo husu maswala ya ulinzi katika jeshi. Vilevile aka jenerali katika jeshi.

Viungo vya nje

César Cui 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:



Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber

Tags:

18 Januari1835191826 MachiAlexander BorodinKiswahiliLithuaniaMily BalakirevModest MussorgskyNikolai Rimsky-KorsakovOperaUfaransaUrusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Muundo wa inshaDr. Ellie V.DMeena AllyBawasiriBukayo SakaUislamuMishipa ya damuMsalabaDawa za mfadhaikoAngkor WatUzazi wa mpangoWachaggaNairobiKitenzi kishirikishiGhanaNchiZabibuWalawi (Biblia)Nomino za pekeeKihusishiVitenzi vishiriki vipungufuKwaresimaUlumbiKinembe (anatomia)Viwakilishi vya pekeeHaitiJuaAdhuhuriNabii EliyaBaraza la mawaziri TanzaniaBahari ya HindiVitenzi vishirikishi vikamilifuUshogaKoreshi MkuuKalenda ya mweziRose MhandoSumakuPijini na krioliMvuaMashariki ya KatiYouTubeNdegeJay MelodyMauaji ya kimbari ya RwandaPesaMbiu ya PasakaMpwaHistoria ya WapareOrodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaKylian MbappéMwaka wa KanisaPandaMkoa wa KageraWimboOrodha ya Watakatifu wa AfrikaSteven KanumbaSisimiziUfufuko wa YesuJumapili ya matawiMkoa wa RuvumaLahaja za KiswahiliWiki FoundationUhuru wa TanganyikaLigi Kuu Tanzania BaraIsimujamiiWamasaiBikira MariaKishazi tegemeziSaratani ya mapafuJacob StephenMkoa wa TangaKimondo cha MboziPasakaAnna MakindaUkabaila🡆 More