Camille Saint-Saëns

Camille Saint-Saens (Kifaransa: Camille Saint-Saëns) (9 Oktoba 1835 - 16 Desemba 1921) alikuwa mtunzi wa Opera na mpiga kinanda mashuhuri kutoka nchini Ufaransa.

Alikuwa mmoja kati watunzi wakubwa wa Opera wa kipindi cha Romantic. Alitunga nyimbo nyingi sana zenye mandhari tofauti na kukubalika katika jamii ya watu wa Ufaransa.

Camille Saint-Saëns
Camille Saint-Saëns.

Viungo vya nje


Camille Saint-Saëns  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Camille Saint-Saëns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber

Tags:

16 Desemba183519219 OktobaKifaransaOperaUfaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mbeya (mji)BogaLugha za KibantuMaliasiliOrodha ya viongoziBarua rasmiUtawala wa Kijiji - TanzaniaKen WaliboraMkoa wa SingidaMbossoJokate MwegeloSilabiSaa za Afrika MasharikiKinuNyegereShirikisho la MikronesiaKiambishi awaliWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiNomino za pekeeChunusiInternet Movie DatabaseSiafuMtawaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaVipaji vya Roho MtakatifuTendo la ndoaLiberiaUpinde wa mvuaPopoUfufuko wa YesuCosta TitchWema SepetuUfupishoJiniOrodha ya Watakatifu WakristoNikki wa PiliMuundoMkoa wa MtwaraRedioAmaniLenziVatikaniUlemavuMichezoKipajiUkwapi na utaoUsawa (hisabati)RaiaTeknolojiaUti wa mgongoHistoria ya Kanisa KatolikiAbd el KaderWanyamboSimu za mikononiUkabailaSentensiLigi ya Mabingwa AfrikaUKUTAUlayaTaifaKiswahiliTeziPunyetoMbooMfupaDubaiUfahamuAli Hassan MwinyiVita Kuu ya Kwanza ya DuniaKiwakilishi nafsiMbuga wa safariMuda sanifu wa duniaKiongoziShinikizo la ndani ya fuvuAngahewaDioksidi kaboniaJulius NyerereUshogaOrodha ya vitabu vya Biblia🡆 More