Kinyama-Kigoga

Ngeli 3, oda 4:

Kinyama-kigoga
Koloni ta vinyama-kigoga huko De Beldert, karibu na Tiel, Uholanzi
Koloni ta vinyama-kigoga huko De Beldert, karibu na Tiel, Uholanzi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Nusuhimaya: Eumetazoa
Faila ya juu: Lophotrochozoa
Faila: Bryozoa
Ehrenberg, 1831
Ngazi za chini

  • Gymnolaemata Allman, 1856
    • Cheilostomata busk, 1852
    • Ctenostomata Busk, 1852
  • Phylactolaemata
    • Plumatellida
  • Stenolaemata Borg, 1926, 1996
    • Cyclostomatida Busk, 1852

Vinyama-kigoga (tafsiri la jina la kisayansi) ni wanyama wadogo wa maji matamu na ya chumvi wa faila Bryozoa. Ni wanyama sahili na karibu wote huishi katika makoloni yanayoshikamanisha kwenye nyuso mbalimbali, kama vile miamba, mawe, mchanga, makombe na miani. Kwa kawaida wana urefu wa takriban mm 0.5 na wana muundo maalum wa kujilisha unaoitwa lofofori (lophophore), "taji" ya minyiri inayotumiwa kwa kujilisha kwa njia ya kuchuja. Spishi nyingi za baharini huishi katika maji ya kitropiki, lakini kadhaa hupatikana katika mifereji ya bahari na maji ya maeneo ya ncha za dunia. Vinyama-kigoga wameainishwa kama spishi za baharini (Stenolaemata), spishi za maji tamu (Phylactolaemata) na spishi za baharini na pengine maji ya chumvi kidogo (Gymnolaemata). Spishi hai 5,869 zinajulikana. Spishi za jenasi moja huishi peke yao, nyingine zote huishi katika makoloni.

Marejeo

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Watakatifu WakristoUmoja wa AfrikaMjiMamba (mnyama)Ng'ombeOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaAngahewaBogaKatibaMfupaMkoa wa TangaSamia Suluhu HassanLafudhiTreniFutiJay MelodyProtiniUhifadhi wa fasihi simuliziMtandao wa kijamiiUtapiamloFasihi simuliziKombe la Mataifa ya AfrikaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaUnyevuangaPunyetoMagharibiEdward SokoineHakiMawasilianoMaharagweBiashara ya watumwaStadi za lughaSensaMaadiliOrodha ya mito nchini TanzaniaNyweleSemantikiKiunguliaGMaajabu ya duniaJohn Raphael BoccoChunusiUmemeMsumbijiFani (fasihi)KobeShambaTowashiBinadamuKiambishi awaliUsultani wa ZanzibarMwanzo (Biblia)Orodha ya makabila ya TanzaniaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliOrodha ya nchi kufuatana na wakaziWikiMaishaHistoria ya KanisaAmri KumiDioksidi kaboniaViwakilishi vya -a unganifuKomaAthari za muda mrefu za pombeKodi (ushuru)Mimba kuharibikaJakaya KikweteBiblia ya KikristoNgoziUzazi wa mpango kwa njia asiliaTabianchi ya TanzaniaCristiano RonaldoMkopo (fedha)Mkoa wa SongweViwakilishiUaVivumishi vya kumilikiNembo ya Tanzania🡆 More