Antonov An-225

An-225 Mriya ni ndege ya Ukraine iliyokuwa kubwa kuliko zote duniani miaka ya 1988 hadi 2019.

Ina injini sita. Ilitengenezwa na kampuni ya Antonov. Ilipangwa kwa shughuli za mradi wa usafiri wa anga-nje wa Umoja wa Kisovyeti.

Antonov An-225
Antonov An-225
Antonov An-225
Ulinganifu wa ndege kubwa sana:      Hughes H-4 Hercules      Antonov An-225      Airbus A380-800      Boeing 747-8

Ndege ya kwanza ilikamilishwa mwaka 1988, nakala ya pili ilianzishwa bila kumaliza kutokana na kuporomoka kwa Umoa wa Kisovyeti mwaka 1989 .

Ndege ya pekee iliyokwisha iliwahi kupimzishwa kwa miaka kadhaa lakini ilirudishwa kuanzia 2001.

Matumizi yake ni ghali kwa hiyo haina ratiba ya kawaida inakodiwa pekee kama kuna haja kubeba mizigo mikubwa sana. Uwezo wake ni kubeba tani zaidi ya 253.

Mwaka 2019 taji la ndege kubwa zaidi limechukuliwa na Stratolaunch Roc.

Marejeo

Antonov An-225  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19882019DunianiInjiniKampuniNdege (uanahewa)SitaUkraineUmoja wa KisovyetiUsafiri wa anga-nje

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mafumbo (semi)Orodha ya Makamu wa Rais TanzaniaAlizetiMashuke (kundinyota)Aina za manenoMethaliUingerezaOrodha ya miji ya TanzaniaMasharikiKenyaWilaya ya ArushaIdi AminPijini na krioliDubaiBongo FlavaMwanaumeKishazi huruHistoria ya TanzaniaMwaniSentensiMkoa wa SingidaIsraeli ya KaleKutoa taka za mwiliOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoUislamuVita ya Maji MajiMtumbwiVihisishiYesuDuniaVivumishi vya -a unganifuKimara (Ubungo)Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMarekaniTafsiriKinyongaRamaniUmememajiDemokrasiaAthari za muda mrefu za pombeMeliIntanetiWahadzabeHoma ya matumboRicardo KakaMkoa wa PwaniJohn MagufuliRufiji (mto)Mpira wa mkonoUlimwenguMvuaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaSah'lomonNguruwe-kayaWapareLiverpoolUajemiWizara za Serikali ya TanzaniaWizara ya Mifugo na UvuviHistoria ya ZanzibarSilabiTamthiliaMkoa wa KageraAAla ya muzikiMfumo katika sokaVitamini CPasifikiFonolojiaSimba (kundinyota)AnwaniKishazi tegemeziMajeshi ya Ulinzi ya KenyaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la Taifa🡆 More