Antoine Lavoisier

Antoine-Laurent de Lavoisier (Agosti 26, 1743 - Mei 8, 1794) alikuwa mtaalamu wa biolojia wa Ufaransa ambaye mara nyingi huitwa Baba wa Kemia ya kisasa.

Antoine Lavoisier
Antoine Lavoisier

Kazi yake ni sehemu muhimu ya historia ya kemia na biolojia. Pia imechangia mwanzo wa nadharia ya atomiki.

Alikuwa mwanasayansi wa kwanza kutambua na kutaja mambo ya hidrojeni na oksijeni.

Aliuawa, kama ilivyokuwa kwa mamia ya wakuu wengine, wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa.

Antoine Lavoisier Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antoine Lavoisier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

17431794Agosti 26BabaBiolojiaKemiaMei 8MtaalamuUfaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mwanza (mji)Michael JacksonTetekuwangaMvuaKaswendeAzimio la ArushaUtumbo mwembambaNgamiaKiongoziMkunduMkoa wa MwanzaBungeAbrahamuNusuirabuNominoHurafaKongoshoRaiaNdege (mnyama)MuhammadIdi AminLugha ya taifaMajigamboHaki za wanyamaNikki wa PiliVivumishi vya urejeshiChristopher MtikilaZuchuAustraliaHadhiraMkoa wa Dar es SalaamKukuSwalaSodomaMkoa wa RukwaVirusi vya CoronaAmfibiaLugha za KibantuAntibiotikiOrodha ya Watakatifu WakristoNomino za pekeeFananiAsidiOrodha ya majimbo ya MarekaniMobutu Sese SekoVivumishi vya kumilikiSikioMkoa wa ManyaraDuniaTungo kiraiUpendoMapenzi ya jinsia mojaChristina ShushoJakaya KikweteVivumishi vya pekeeKitenziBabeliTawahudiRayvannyEe Mungu Nguvu YetuMajiKichochoUhuru wa TanganyikaAfrika Mashariki 1800-1845Ziwa ViktoriaBaraza la mawaziri TanzaniaKumaUsafi wa mazingiraMafurikoGongolambotoWizara za Serikali ya TanzaniaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaMamaBaraUgonjwa wa kuharaVielezi🡆 More