Amirijeshi mkuu (kwa Kiingereza: commander-in-chief) ni kiongozi wa majeshi yote ya nchi fulani.
Kwa mfano nchini Tanzania amirijeshi mkuu ni rais: ndiye anayetoa amri kwa majeshi yake yote. Kwa sasa amirijeshi wa Tanzania ni rais Samia Suluhu Hassan.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amirijeshi mkuu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Amirijeshi mkuu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.