Aleksandr Solzhenitsyn: Mwandishi Murusi(1918-2008)

Aleksandr Isayevich Solzhenitsyn (11 Desemba 1918 – 3 Agosti 2008) alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Urusi.

Aleksandr Solzhenitsyn: Mwandishi Murusi(1918-2008)
Aleksandr Solzhenitsyn: Mwandishi Murusi(1918-2008)
Solzhenitsyn, 1994
Aleksandr Solzhenitsyn: Mwandishi Murusi(1918-2008)
One Day in the Life of Ivan Denisovich

Mwaka wa 1970 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Anajulikana hasa kwa kitabu chake "Funguvisiwa la Gulag" (kwa Kirusi Arkhipelag Gulag) kilichotolewa katika majuzuu matatu miaka ya 1973-75. Katika kitabu hicho alisimulia historia ya utawala wa kutisha wa Stalin na mfumo wa makambi yake mengi kwa wafungwa wa kisiasa. Alikamatwa na serikali na kufukuzwa nje ya nchi kwa sababu ya kitabu hicho.

Mwaka wa 1994 alirudi Urusi. Aliaga dunia Moscow mjini mwaka wa 2008.

Aleksandr Solzhenitsyn: Mwandishi Murusi(1918-2008) Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aleksandr Solzhenitsyn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

11 Desemba191820083 AgostiHistoriaMwandishiUrusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NimoniaMisemoAgano la KaleHekaya za AbunuwasiSayansiAbedi Amani KarumeMagonjwa ya kukuIniDawa za mfadhaikoMahakamaZiwa ViktoriaWanyaturuUingerezaJinsiaSimuMapinduzi ya ZanzibarMwana FAUsanifu wa ndaniUmoja wa MataifaUpinde wa mvuaKiimboUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniSimbaAbrahamuMaandishiVielezi vya mahaliTafakuriVivumishiManispaaRita wa CasciaJumuiya ya MadolaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiDhamiraWahadzabeKonyagiManchester CityMkoa wa KilimanjaroMfumo wa JuaKiambishi awaliWabunge wa Tanzania 2020Historia ya uandishi wa QuraniMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaHistoria ya KanisaNgamiaJoseph ButikuOrodha ya majimbo ya MarekaniMoses KulolaJoyce Lazaro NdalichakoTupac ShakurAina za manenoShikamooYouTubeWayback MachineVihisishiHoma ya mafuaMkoa wa NjombeMbuniNguruwePijini na krioliKishazi huruMkoa wa PwaniMtumbwiFonolojiaTanganyika African National UnionWimboUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMasafa ya mawimbiWangoniKoma🡆 More