Al Capone

Al Capone (kwa jina halisi Alphonse Gabriel Capone; 17 Januari 1899 - 25 Januari 1947) alikuwa mhalifu mashuhuri nchini Marekani.

Alizaliwa jijini New York katika ukoo wa wahamiaji kutoka Italia akahamia Chicago ambako aliongoza genge la uhalifu katika enzi ya prohibition ambako pombe ilipigwa marufuku Marekani.

Al Capone
Al Capone mnamo 1930

Capone alisimamia sehemu kubwa ya biashara haramu ya pombe pamoja na ukahaba mjini Chicago, Illinois, kuanzia mwaka 1925 hadi 1931. Genge lake lilishambulia wenye vilabu vya siri waliokataa kununua pombe kutoka kwake na kupigana na magenge mengine, ambako watu waliuawa.

Hatimaye vyombo vya dola vilifaulu kumpeleka mahakamani kwa mashtaka ya ukwepaji wa ushuru wa mapato. Alipatikana na hatia, Capone alihukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani.

Capone aliachiliwa kutoka gerezani mnamo 1939 kwa sababu alikuwa mgonjwa akaaga dunia mnamo 1947 baada ya kupata kiharusi.

Tanbihi

Marejeo

  • 2.“Al Capone.” World of Criminal Justice. Gale, (2002). Biography in Context.Web. 10-June 2014

Viungo vya nje

Tags:

17 Januari1899194725 JanuariChicagoItaliaJijiMarekaniNew YorkPombeUkooWahamiaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaAina za manenoNgano (hadithi)MizimuMaambukizi nyemeleziOrodha ya majimbo ya MarekaniPopoKamusi ya Kiswahili - KiingerezaUtohoziHistoria ya Kanisa KatolikiUandishi wa ripotiMaghaniSumakuUwanja wa Taifa (Tanzania)GongolambotoAina za ufahamuFonolojiaLuhaga Joelson MpinaMtemi MiramboUmemeVitenzi vishirikishi vikamilifuNetiboliUkristo nchini TanzaniaVielezi vya idadiMajira ya baridiMavaziJipuManispaaNembo ya TanzaniaMkoa wa KageraMickey MouseUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMeena AllySakramentiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarKitenzi kishirikishiTaswira katika fasihiMoses KulolaUbunifuHistoria ya KenyaKassim MajaliwaVita ya Maji MajiNgeliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaWabena (Tanzania)Mkoa wa SimiyuHafidh AmeirNguzo tano za UislamuGhuba ya UajemiMawasilianoMwanza (mji)Orodha ya maziwa ya TanzaniaHadithiUandishi wa inshaNdiziKhadija KopaFananiTenzi tatu za kaleUpendoAmfibiaTabianchi ya TanzaniaMahakamaUfugajiBahashaHomoniUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaMazingiraHaki za binadamuMaigizoMkoa wa Kilimanjaro🡆 More