Achile Kiwanuka

Achile Kiwanuka (+ Namugongo 3 Juni 1886) ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda.

Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II (1884 - 1903) ambao waliuawa kati ya tarehe 15 Novemba 1885 na tarehe 27 Januari 1887 kwa sababu ya kumwamini Yesu Kristo baada ya kuhubiriwa Injili na Wamisionari wa Afrika walioandaliwa na kardinali Charles Lavigerie.

Hawa ndio wafiadini wa kwanza wa Kusini kwa Sahara kuheshimiwa na Kanisa Katoliki kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Juni.

Tazama pia

Tanbihi

Achile Kiwanuka  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

18863 JuniKanisa KatolikiMfiadiniWafiadini wa UgandaWakristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MsichanaMfumo katika sokaMajira ya mvuaJumuiya ya Afrika MasharikiIdi AminJohn MagufuliIsraelVita Kuu ya Pili ya DuniaMbwana SamattaUjamaaOrodha ya Marais wa NamibiaMakabila ya IsraeliLahaja za KiswahiliWanyamaporiMkoa wa LindiMizimuMachweoNgw'anamalundiMuundoHafidh AmeirRitifaaSautiChumaWimbisautiRayvannyKampuni ya Huduma za MeliUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaWahaIsraeli ya Kale26 ApriliMillard AyoYouTubeNjia ya MachoziUmoja wa KisovyetiFonetikiSemiMobutu Sese SekoUfeministiRose MhandoDaktariMkoa wa SimiyuKadi za mialikoAli Hassan MwinyiTasifidaBustaniAfyaVielezi vya mahaliVihisishiKenyaZuchuAl Ahly SCNafsiYoung Africans S.C.Chanika (Ilala)Maambukizi nyemeleziFutiKatekisimu ya Kanisa KatolikiWangoniIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Majira ya baridiWikipediaMunguSarufiGeorge Boniface SimbachaweneOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMagharibiWilaya za TanzaniaKinembe (anatomia)Mvua ya maweBogaIntanetiPunyetoKamusi🡆 More