Yohakimu wa Fiore, O.Cist., au wa Flora (kwa Kiitalia Gioacchino da Fiore) alikuwa mmonaki wa Italia kusini (Celico, leo mkoani Calabria, 1135 hivi – San Martino di Canale, Calabria, 30 Machi 1202) aliyeanzisha abasia ya San Giovanni in Fiore na shirika lilitokana na lile la Citeaux.
Ni maarufu kwa mafundisho yake ambayo baadaye yalikuja kulaaniwa na Kanisa Katoliki kama ya kizushi.
Hata hivyo mwenyewe hakuwa na nia hiyo, bali alimwekea Papa maamuzi yoyote juu yake.
Kwa sababu hiyo shirika lake, likizingatia uadilifu wake wa kishujaa, liliwahi kumtangaza mwenye heri, na sasa jimbo lake la Cosenza-Bisignano linaendelea na kesi ya kumtambua hata mtakatifu.
Maandishi mengine ni kama vile:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Yohakimu wa Fiore, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.