Mji Musoma

Musoma ni mji wa Tanzania uliopo kwenye mwambao wa mashariki wa Ziwa Viktoria. Musoma imepata halmashauri na hadhi ya manisipaa. Manispaa hiyo inapakana na Wilaya ya Musoma Vijijini.

Musoma
Musoma is located in Tanzania
Musoma
Musoma

Mahali pa mji wa Musoma katika Tanzania

Majiranukta: 1°29′24″S 33°48′0″E / 1.49000°S 33.80000°E / -1.49000; 33.80000
Nchi Tanzania
Mkoa Mara
Wilaya Musoma Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 164,172
Msimbo wa posta 31101 - 31113  

Ni makao makuu ya Mkoa wa Mara.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 na katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 164,172 .

Mji Musoma
Tembo beach.

Historia

Kabla ya ukoloni eneo la Musoma lilikuwa nchi ya Wakabwa, kundi la Wajaluo waliowahi kuhamia hapa.

Wajerumani wa kwanza walifika mnamo mwaka 1910: walikuwa wamisionari, kwa majina Dominik na Paulo, waliojenga makazi na shule karibu na makao ya Mtemi Nyabange.

Wakafuatwa na afisa wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa forodha. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko kina cha maji ufukoni kilifaa zaidi kwa meli kufika. Hivyo Musoma ilianzishwa kama bandari na baadaye makao ya ofisa mdogo wa Mkoa wa kikoloni wa Mwanza.

Baada ya kuondolewa kwa Wajerumani, Waingereza waliingia. Katika eneo la kudhaminiwa la Tanganyika Musoma ilikuwa makao makuu ya wilaya (district) ikaingia vile katika Tanzania huru.

Mwalimu Julius Nyerere alisoma shule Musoma kuanzia mwaka 1934 na tarehe 21 Januari 1953 alirudi huko kufunga ndoa na Maria Waningu Gabriel Magige katika Kanisa Katoliki la Musoma Mwisenge .

Marejeo

Viungo vya Nje

Mji Musoma  Kata za Wilaya ya Musoma Mjini - Mkoa wa Mara - Tanzania Mji Musoma 

Buhare | Bweri | Iringo | Kamunyonge | Kigera | Kitaji | Kwangwa | Makoko | Mshikamano | Mukendo | Mwigobero | Mwisenge | Nyakato | Nyamatare | Nyasho | Rwamlimi

Mji Musoma  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Musoma (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vivumishi vya -a unganifuKarafuuErling Braut HålandPasaka ya KiyahudiKodi (ushuru)Angkor WatUtoaji mimbaUyogaUfupishoKonsonantiUturukiOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaMagavanaPasaka ya KikristoKata za Mkoa wa Dar es SalaamSarufiAzimio la ArushaOsama bin LadenMariooNishati ya mwangaUundaji wa manenoBunge la Umoja wa AfrikaBustani ya EdeniTungo kiraiIsimujamiiUjimaPamboVitamini CRaiaLugha rasmiUti wa mgongoIntanetiUtumbo mpanaJumaKumamoto, KumamotoMagonjwa ya kukuShahawaMrisho NgassaBongo FlavaUtawala wa Kijiji - TanzaniaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiKaswendeKaabaInstagramMwanzoNdoa ya jinsia mojaAfrika ya MasharikiOrodha ya Marais wa UgandaSayansiTamthiliaMkoa wa ShinyangaNadhariaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaWilaya za Tanzania13KiambishiKumaKUshirikianoMnyoo-matumbo MkubwaMeno ya plastikiMalipoAzziad NasenyaKiingerezaViunganishiUongoziMuziki wa dansi wa kielektronikiUhuruUsafi wa mazingiraLatitudoHekaya za AbunuwasiVielezi vya idadiFatma KarumeMkutano wa Berlin wa 1885🡆 More