Lamadi

Lamadi ni mji mdogo na kata ya Wilaya ya Busega katika Mkoa wa Simiyu, Tanzania, yenye postikodi namba 39507 .

Mji wa Lamadi umepakana na Ziwa Viktoria upande wa Magharibi, Pori la Akiba Kijereshi na Kata za Lutubiga na Mkula upande wa Mashariki, Wilaya ya Bunda upande wa Kaskazini na Kata ya Kalemela upande wa Kusini. Mji wa Lamadi ufikika kwa barabara za kitaifa ambazo ni Barabara ya Mwanza - Musoma, pamoja na Barabara ya Shinyanga, Bariadi - Lamadi.

Mitaa yake ni Itongo, Makanisani, Majengo, Msekula Road, Mwalukonge, Kisesa na vijiji vitatu ambavyo ni Lukungu, Mwabayanda na Kalago (Mwabulugu Lakeshore).

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 44,146 . Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 22,062 waishio humo..

Wakazi walio wengi ni wa makabila ya Wasukuma, Wajita, Wakurya, Wazanaki na Waha.

Mji wa Lamadi ni maarufu kwa biashara, uvuvi, utalii, kilimo na ufugaji.

Marejeo

Lamadi  Kata za Wilaya ya Busega - Mkoa wa Simiyu - Tanzania Lamadi 

Badugu | Igalukilo | Imalamate | Kabita | Kalemela | Kiloleli | Lamadi | Lutubiga | Malili | Mkula | Mwamanyili | Ngasamo | Nyaluhande | Nyashimo | Shigala

Lamadi  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

KataMji mdogoMkoa wa SimiyuNambaPostikodiTanzaniaWilaya ya Busega

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MbooMaudhuiMacky SallTenziUundaji wa manenoSemiChuraWiktionaryGhanaSaratani ya mlango wa kizaziRaiaNyweleUislamuFananiKishazi tegemeziAsiaMakabila ya IsraeliBarabaraTungo kishaziFasihi ya KiswahiliInstagramVitenzi vishiriki vipungufuAlfabetiTungo kiraiArusha (mji)UtafitiRayvannyJuxAlama ya uakifishajiKylian MbappéBarua rasmiJinsiaKupatwa kwa JuaSayansiWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiUhifadhi wa fasihi simuliziItikadiVita vya KageraMahakamaFasihiVivumishi vya -a unganifuTunu PindaMisimu (lugha)HedhiHoma ya mafuaLil WayneJogooTashdidiUjimaLionel MessiMungu ibariki AfrikaDNABaraza la mawaziri TanzaniaOrodha ya wanamuziki wa AfrikaHali maadaWilaya ya KilindiHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUpinde wa mvuaDizasta VinaElimuUpepoMkanda wa jeshiHistoria ya WapareAzimio la ArushaKigoma-UjijiSabatoRohoKamusi za KiswahiliUbongoNomino za pekeeMamlaka ya Mapato ya TanzaniaKitenzi kikuuDhamiri🡆 More