Universities' Mission to Central Africa, kwa kifupi UMCA, (1857 - 1965) ilikuwa jumuiya ya wasomi iliyoanzishwa na wanachama wa Kanisa la Anglikana katika vyuo vikuu vya Oxford, Cambridge, Durham na Dublin.
Kutokana na wito wa mmisionari David Livingstone, jumuiya hii ilianzishwa katika ya Waanglikana wenye mwelekeo wa Kikatoliki, nayo iliunda vituo vya uaskofu huko Zanzibar na Nyasaland (baadaye Malawi) na kuanzisha mafunzo ya wachungaji wa Kiafrika.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Universities' Mission to Central Africa kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Universities' Mission to Central Africa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.