Ukatili Wa Kimwili: Aina ya unyanyasaji unaoonyeshwa na mtu kumdhuru mtu mwingine kimakusudi

Ukatili wa kimwili ni matendo ambayo yanaweza kumsababishia mtu maumivu na majeraha katika akili, mwili, au matendo ambayo yanaweza kumsababishia mtu mateso kwa njia yoyote ile.

Matendo ya ukatili wa kimwili yanaweza kufanywa na mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine.

Watoto wamekuwa sehemu ya wahanga wakubwa wa matendo ya ukatili wa kimwili, kama ulivyo ukatili wa majumbani, na wakati mwingine ukatili wa kimwili huweza kupeleka mtu kuaga Dunia.

Visababishi

Mara nyingi watoto wamekuwa wakikumbana na vitendo vya ukatili wa kimwili kutoka kwa wazazi wao kutokana na adhabu wanazozipata. Matukio mengi ya ukatili wa kimwili yamekuwa na sababu mbalimbali ikiwemo hali ya mazingira katika familia, msongo wa mawazo, pamoja na kukosekana uelewa.

Marejeo

Ukatili Wa Kimwili: Aina ya unyanyasaji unaoonyeshwa na mtu kumdhuru mtu mwingine kimakusudi  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukatili wa kimwili kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AkiliMwili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lil WayneUsafi wa mazingiraMahakama ya TanzaniaTaswira katika fasihiZama za ChumaFalsafaMbeguBungeUlemavuHaikuPaul MakondaAunt EzekielMbeya (mji)WazaramoKipindi cha PasakaWashambaaAlama ya uakifishajiNeemaInstagramOrodha ya MiakaKutoka (Biblia)MtiWikipediaAndalio la somoMafuta ya wakatekumeniMfumo katika sokaTmk WanaumeMeta PlatformsWaanglikanaKamusi ya Kiswahili sanifuMkoa wa MtwaraMungu ibariki AfrikaNyweleHistoria ya UislamuHistoria ya WasanguVivumishi vya -a unganifuWilliam RutoOrodha ya Watakatifu wa AfrikaRihannaMbwana SamattaUshogaShereheMfumo wa JuaTunu PindaDaudi (Biblia)Mlo kamiliDodoma (mji)NyegereNdovuMitume na Manabii katika UislamuWimboNabii IsayaAzimio la kaziFutiMkoa wa NjombeKisononoKishazi tegemeziMagonjwa ya machoNomino za kawaidaKitenziUkatiliMisriMichelle ObamaWasafwaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaHarmonizeKichochoIndonesiaSumakuMkondo wa umemeMkoa wa RukwaUkabailaUbakajiUandishi wa inshaSemantikiMikoa ya TanzaniaKito (madini)RamaniKigoma-Ujiji🡆 More