Susan B.anthony

Susan Brownell Anthony (15 Februari 1820 - 13 Machi 1906) alikuwa kiongozi wa kutetea haki za wanawake nchini Marekani.

Susan B. Anthony
Susan B.anthony
Susan B Anthony ca. 1900
Amezaliwa Susan Brownell Anthony
Februari 15, 1820

Katika umri wa miaka 17 alikuwa mwalimu wa shule, lakini muda mfupi baadaye alijihusisha na mambo ya utumwa na unywaji pombe.

Mnamo miaka ya 1850, alikuwa akifanya kazi kwa ukaribu na Elizabeth Cady Stanton kwa ajili ya kutetea haki za wanawake, ikiwemo haki ya wanawake kupiga kura.

Kwa miaka kadhaa alikuwa mhariri wa gazeti lililoitwa The Revolution. Mnamo mwaka 1872 alikamatwa kwa kosa la kujaribu kupiga kura.

Kwa miaka mingi, alikuwa kiongozi wa chama cha kitaifa cha kutetea haki ya upigaji kura kwa wanawake kilichoitwa National Women's Suffrage Association, ambacho kilijikita katika kuhakikisha wanawake wanapata haki ya kupiga kura nchini Marekani kwa kipindi hicho.

Mnamo mwaka 1920 mabadiliko ya 19 ya katiba ya Marekani yalipitishwa, ambapo ilikuwa ni miaka 14 tokea kifo cha Susan B. Anthony kilichotokea 13 Machi 1906.

Susan B. Anthony alikuwa mwanamke wa kwanza kuwa kwenye sarafu ya Marekani, dola.

References

Viungo vya nje

Susan B.anthony 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Susan B.anthony  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Susan B.Anthony kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

13 Machi15 Februari18201906HakiKiongoziMarekaniWanawake

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TafakuriSoko la watumwaTendo la ndoaFutiHistoria ya uandishi wa QuraniJulius NyerereNetiboliSimba S.C.Ali Hassan MwinyiWilaya ya UbungoTovutiKishazi huruUaWilaya ya TemekeMaadiliJakaya KikweteUlayaMr. BlueOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNandyMasafa ya mawimbiIntanetiUtandawaziOrodha ya Marais wa MarekaniBungeHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoTanzaniaChama cha MapinduziKoroshoKamusi za KiswahiliUfahamuMpira wa miguuUgandaOrodha ya milima mirefu dunianiMunguTumbakuTiktokMbezi (Ubungo)Utumbo mwembambaDodoma (mji)Hussein Ali MwinyiUnyenyekevuMethaliZakaKanisa KatolikiMaradhi ya zinaaMilango ya fahamuFamiliaMawasilianoMishipa ya damuDamuSensaPunda miliaHistoria ya KiswahiliOrodha ya miji ya TanzaniaBikiraMnara wa BabeliAnwaniSexWilaya ya ArushaJacob StephenJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoVita ya Maji MajiKigoma-UjijiAlama ya barabaraniKiazi cha kizunguMuundo wa inshaUjimaUkimwiLughaHedhiPapaNenoUandishi wa barua ya simu🡆 More