Antimoni au Stibi (kutoka kigiriki stimmi/stibi na Kilatini stibium iliyotaja kampaundi ya elementi) ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 51 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 121.760.
Stibi au Antimoni (stibium) | |
---|---|
Alotropia ya kimetali ya stibi yenye rangi buluu-nyeupe | |
Jina la Elementi | Stibi au Antimoni (stibium) |
Alama | Sb |
Namba atomia | 51 |
Mfululizo safu | Simetali |
Uzani atomia | 121.760 |
Valensi | 2, 8, 18, 18, 5 |
Densiti | 6,697 g/cm³ kufuatana na alotropia zake |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 903.78 K (630.63 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 1860 K (1587 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 7 · 10-5 % |
Hali maada | mango |
Mengineyo | Stibi ni chaguo la jedwali ya elementi ya KAST, "wanja wa manga" hutajwa katika M-J SSE); lugha nyingi duniani hutumia neno antimon. Kuna alotropia nne |
Elementi hutokea kwa alotropia nne na ile ya kawaida ni ya metaloidi yenye rangi buluu-nyeupe. Alotropia za rangi njano na nyeusi ni simetali tena si thabiti.
Matumizi yake ni katika rangi, madawa ya kuzuia moto, aloi nyingi na kutengeneza kompyuta.
Kihistoria kampaundi ya stibi (antimon) ilitumiwa kama wanja (kohl) yaani rangi ya upara.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stibi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Stibi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.