Spiridoni Wa Tremetusia

Spiridoni wa Tremetusia (kwa Kigiriki: Ἅγιος Σπυρίδων; Askeia, Kupro, 270 hivi – Tremetusia 348) alikuwa askofu wa mji huo wa Kupro.

Spiridoni Wa Tremetusia
Picha takatifu ya Mt. Spiridoni.
Spiridoni Wa Tremetusia
Picha takatifu ikimuonyesha Mt. Spiridoni (katikati, mbele) akimnyamazisha Ario (kulia, akizuia mdomo kwa mkono) wakati wa mtaguso wa kwanza wa Nisea.
Spiridoni Wa Tremetusia
Mchoro wa ukutani wa Mt. Spiridoni katika Zemen Monastery, Bulgaria.

Tangu kale anaheshimiwa na Ukristo wa Mashariki na Ukristo wa Magharibi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa mashariki tarehe 25 Desemba na magharibi tarehe 12 Desemba.

Maisha

Alipokuwa mchungaji alianza kujulikana kwa maisha yake ya kiroho. Alioa na kuzaa binti mmoja, Irene.

Alipofiwa mke wake, Spiridoni aliingia katika monasteri, na binti yake vilevile.

Hatimaye Spiridoni akawa askofu wa Tremetusia, katika wilaya ya Larnaca. Alishiriki mtaguso mkuu wa kwanza (Mtaguso wa kwanza wa Nisea (325), aliposaidia sana kupinga teolojia ya akina Ario.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Spiridoni Wa Tremetusia  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Spiridoni Wa Tremetusia MaishaSpiridoni Wa Tremetusia Tazama piaSpiridoni Wa Tremetusia TanbihiSpiridoni Wa Tremetusia MarejeoSpiridoni Wa Tremetusia Viungo vya njeSpiridoni Wa Tremetusia270348AskofuKigirikiKuproMji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UshairiKinjikitile NgwaleSteve MweusiMoses KulolaMkanda wa jeshiAfrika ya MasharikiMfumo wa homoniShikamooMwakaNgono zembeVita ya Maji MajiMashuke (kundinyota)Elimu ya watu wazimaUzazi wa mpangoKishazi huruNzigePijini na krioliMtoni (Temeke)Sanaa za maoneshoTungo kishaziGeorDavieDar es SalaamMkoa wa MtwaraOrodha ya Watakatifu wa AfrikaIsimuJuxUtafitiSentensiLakabuFred MsemwaVivumishiLafudhiBahari ya HindiPunyetoTelevisheniOrodha ya majimbo ya MarekaniViunganishiLugha ya taifaMkondo wa umemeMalaikaChristina ShushoMgawanyo wa AfrikaFamiliaMswakiMbogaMkoa wa KigomaMusaSamakiNomino za kawaidaWilaya ya KaratuMkoa wa Unguja Mjini MagharibiRejistaTarakilishiUfilipinoMaudhui katika kazi ya kifasihiNyanda za Juu za Kusini TanzaniaFasihiRose MhandoUrusiKanadaNandyHistoria ya WapareBogaMkoa wa RukwaKinembe (anatomia)MazungumzoSimuMvuaSikioOrodha ya Marais wa TanzaniaMkoa wa KataviRushwaMafumbo (semi)PamboBusaraCristiano RonaldoMoscowTawahudi🡆 More