Sila

Sila au Siluano (kwa Kigiriki: Σίλας / Σιλουανός; karne ya 1 AD) ni mmojawapo kati ya viongozi muhimu zaidi wa Kanisa la mwanzo huko Yerusalemu.

Sila
Mt. Sila.

Kutoka huko alitumwa mara nyingi kwa Wakristo wasio Wayahudi kushughulikia matatizo mbalimbali (kuanzia Mdo 15:22) akawa mwenzi wa Mtume Paulo katika safari za kimisionari (kuanzia Mdo 16:25) akatimiza hadi mwisho huduma zake kwa neema ya Mungu na bidii isiyokubali kuchoka.

Anatajwa na Paulo katika barua mbalimbali (k.mf. 2Kor 1:19).

Hatimaye alimsaidia Mtume Petro kuandika waraka yake wa kwanza (1 Pet 5:12).

Anaheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo kama mtakatifu, ila tarehe ya sikukuu yake ni tofautofauti. Kwa Wakatoliki ni tarehe 13 Julai.

Tazama pia

Tanbihi

Sila  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sila kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ADKanisaKarne ya 1KigirikiKiongoziYerusalemu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MofimuBongo FlavaKiolwa cha anganiUnyagoWilaya ya ArushaVitamini CEthiopiaSinagogiNgonjeraTafakuriWameru (Tanzania)MwanamkeOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMkoa wa RuvumaVihisishiUnyevuangaAnwaniSumakuMkoa wa KageraMuundoKihusishiMkoa wa RukwaPamboVivumishiOrodha ya Marais wa KenyaMeliVipera vya semiMkutano wa Berlin wa 1885Madawa ya kulevyaMr. BlueSheriaSemiMnyoo-matumbo MkubwaAfrika KusiniMkoa wa TangaMsokoto wa watoto wachangaStephane Aziz KiAustraliaFasihi andishiUfugaji wa kukuNikki wa PiliShikamooAmri KumiTarafaUDARoho MtakatifuSimba (kundinyota)Simu za mikononiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuAunt EzekielUkatiliUjerumaniHadithiNgamiaLafudhiMtumbwiVitendawiliPijini na krioliHaki za binadamuSiriKamusiLilithBurundiMzabibuOrodha ya nchi za AfrikaKiraiBloguOrodha ya Magavana wa TanganyikaMartin LutherJulius NyerereNileNyukiMshubiriKishazi tegemeziUbaleheWizara ya Mifugo na UvuviBikira Maria🡆 More