Roald Amundsen

Roald Engebreth Gravning Amundsen (Borge, leo: Fredrikstad, Norwei, 16 Julai 1872 - Aktiki, mnamo 18 Juni 1928) alikuwa mpelelezi Mnorwei aliyekuwa mtu wa kwanza kufika Ncha ya kusini mwaka 1911.

Roald Amundsen
Meli "Belgica" ya Amudsen ikifungwa katika barafu wakati wa safari yake ya kwanza kuelekea Antaktiki mwaka 1898

Kabla ya hapo alikuwa mtu wa kwanza aliyefaulu kuvuka mapito ya kaskazini-magharibi kati ya Atlantiki na Pasifiki katika miaka 1903 - 1906.

Katika safari mbalimbali alikuwa pia mtu wa kwanza aliyevuka Aktiki na ncha ya kaskazini hewani kwa kutumia ndegeputo mwaka 1926.

Alikufa mwaka 1928 kwenye Aktiki alipojaribu kumwokoa mpelelezi Mwitalia aliyekuwa amepotea katika barafu.

Tags:

16 Julai18 Juni187219111928AktikiMpeleleziMtuMwakaNcha ya kusiniNorwei

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wilaya ya TemekeSheriaMazingiraKen WaliboraWabena (Tanzania)Vivumishi vya -a unganifuTarbiaKaswendeJohn Samwel MalecelaHifadhi ya Taifa ya NyerereMjombaMwanamkeEdward SokoineNyotaHistoria ya TanzaniaUlumbiMoscowKoroshoHomoniTendo la ndoaMakabila ya IsraeliSamakiNamba ya mnyamaIntanetiMkoa wa KigomaSoga (hadithi)Maambukizi nyemeleziBaraza la mawaziri TanzaniaBungeMimba kuharibikaKiswahiliLahaja za KiswahiliApril JacksonKiwakilishi nafsiAfrikaDodoma (mji)Nishati ya mwangaHistoria ya BurundiSalim Ahmed SalimGeorDavieHali ya hewaMashariki ya KatiMapenziMariooTamathali za semiHussein Ali MwinyiIyungaHadithi za Mtume MuhammadMkoa wa MbeyaMaudhuiRisalaWizara za Serikali ya TanzaniaWilayaNathariIsraelOrodha ya Marais wa ZanzibarStephane Aziz KiHerufiOrodha ya Marais wa KenyaTenziMeena AllyHistoria ya WasanguBenki ya DuniaKibodiMoshi (mji)SarufiIsimuNgeliSimba (kundinyota)HedhiNdoa🡆 More