Mnyoo-Bapa

Ngeli 2 na nusungeli 2

Mnyoo-bapa
Mnyoo-bapa wa maji baridi (Planaria torva)
Mnyoo-bapa wa maji baridi (Planaria torva)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Nusuhimaya: Eumetazoa
(bila tabaka): Bilateria
(bila tabaka): Prostomia
Faila ya juu: Platyzoa
Faila: Platyhelminthes
Claus, 1887
Ngazi za chini

  • Catenulida
  • Rhabditophora
    • Macrostomorpha
    • Trepaxonemata

Minyoo-bapa ni wanyama wanaofanana na minyoo, lakini wao hawana uwazi wa mwili (coelom). Kwa hivyo hawana ogani za mfumo wa mzunguko wa damu au za mfumo wa upumuaji na lazima mwili uwe bapa ili oksijeni iweze kuingia kwa mtawanyiko. Mwili wao una uwazi umoja, ule wa mmeng'enyo, lakini uwazi huu una kipenyo kimoja tu pamoja kwa umezaji na kwa utoaji.

Kuna minyoo-bapa ambao huishi kwa maji au kwa udongo. Kwa kawaida hawa hula wanyama wadogo lakini pia wanyama wakubwa kuliko wao wenyewe, kama konokono. Zaidi ya nusu ya spishi zote za minyoo-bapa ni vidusia, k.m. mategu. Hawa hufyonda virutubishi vilivyoyeyuka katika giligili za mwili wa mwenyeji.

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Michezo ya watotoAKupatwa kwa JuaMnururishoKamusi ya Kiswahili - KiingerezaKichomi (diwani)MeliMatiniMamba (mnyama)Michael JacksonKInjili ya MathayoHarakati za haki za wanyamaIniHoma ya iniOrodha ya Marais wa TanzaniaUfaransaKiangaziMzeituniUfugaji wa kukuMaadiliNadhariaMaishaUgonjwa wa uti wa mgongoViwakilishi vya sifaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMafua ya kawaidaRafikiViwakilishi vya -a unganifuOrodha ya mito nchini TanzaniaBongo FlavaSheriaBarua rasmiAsiaKiarabuUkwapi na utaoNovatus DismasUandishi wa ripotiUnyevuangaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziPijiniTetekuwangaOrodha ya milima mirefu dunianiBawasiriMimba kuharibikaKiongoziMkoa wa RukwaOrodha ya viongoziTovutiUkooKombe la Mataifa ya AfrikaMlongeThenasharaAbrahamuUtawala wa Kijiji - TanzaniaVivumishi vya kumilikiKamusi ya Kiswahili sanifuMshororoLGBTMji mkuuOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaJWamasaiViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Baraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaKarne ya 20MizimuElimuTeziBendera ya TanzaniaUtalii nchini KenyaVivumishi vya sifaMungu ibariki AfrikaUtafitiJidaKamusi za KiswahiliKatiba🡆 More