Pieter Brueghel Mzee

Pieter Brueghel (* kati ya 1525 na 1530 mjini Breda; † 5 Septemba 1569, Brussels) alikuwa mchoraji Mholanzi wa karne ya 16.

Anaitwa "Brueghel Mzee" ili kumtofautisha na mwanawe Pieter Brueghel Kijana aliyekuwa mchoraji mashuhuri pia. Anahesabiwa kati ya wachoraji muhimu zaidi wa Zama za Mwangaza ya Ulaya.

Pieter Brueghel Mzee
Misemo na nahau za lugha ya Kiholanzi
Pieter Brueghel Mzee
Mnara wa Babeli
Pieter Brueghel Mzee
Pieter Breughel alivyojichora mwenyewe

Brueghel alijifunza sanaa ya uchoraji mjini Antwerpen hadi kufikia kiwango cha fundi mwalimu. Mnamo 1552-1555 alisafiri Italia alikoangalia sanaa ya karne nyingi.

Picha za Brueghel zinaonyesha vinaganaga vingi, alipenda kuficha ujumbe wake katika vipengele vidogo. Alipenda kuonyesha maisha ya wakulima vijijini kwa umakini kabisa. Picha zake zote zinasimulia hadithi katika mazingira ya mandhari ya kiholanzi. Alichora pia habari za Biblia na ndoto akifanana na Hieronymus Bosch.

Kati ya picha zake mashuhuri sana ni "Misemo na nahau za lugha ya Kiholanzi" alimoonyesha misemo zaidi ya 100, halafu pia "Mnara wa Babeli".

Viungo vya Nje

Pieter Brueghel Mzee 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

1525153015695 SeptembaBredaBrusselsKarne ya 16UholanziZama za Mwangaza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MadiniTume ya Taifa ya UchaguziUtoaji mimbaMuundoSakramentiVita Kuu ya Kwanza ya DuniaBenderaHussein Ali MwinyiMizimuMlima wa MezaKiimboSanaa za maoneshoUchumiImaniKhalifaKimeng'enyaUnyagoBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMuda sanifu wa duniaUwanja wa Taifa (Tanzania)Mnyoo-matumbo MkubwaSaidi NtibazonkizaVivumishiHafidh AmeirHaki za wanyamaAgano JipyaMwanzo (Biblia)HistoriaMwanamkeTanganyika (maana)Arsenal FCRitifaaHadithiIsimujamiiJuxUkutaBendera ya TanzaniaDaktariWayahudiMsokoto wa watoto wachangaWamasaiAntibiotikiVitendawiliNyati wa AfrikaJokofuWahaUturukiRufiji (mto)Fani (fasihi)Kigoma-UjijiMaambukizi ya njia za mkojoAustraliaMzeituniZakaBahari ya HindiKitenzi kikuu kisaidiziLeonard MbotelaIdi AminKanda Bongo ManUbungoDodoma (mji)Wilaya za TanzaniaWanyakyusaTabataMagonjwa ya machoStephane Aziz KiNominoTungoOrodha ya Marais wa ZanzibarNomino za kawaidaUzalendo🡆 More