Mugagga Lubowa

Mugagga Lubowa (+ Namugongo 3 Juni 1886) ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda.

Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II (1884 - 1903) ambao waliuawa kati ya tarehe 15 Novemba 1885 na tarehe 27 Januari 1887 kwa sababu ya kumwamini Yesu Kristo baada ya kuhubiriwa Injili na Wamisionari wa Afrika walioandaliwa na kardinali Charles Lavigerie.

Hawa ndio wafiadini wa kwanza wa Kusini kwa Sahara kuheshimiwa na Kanisa Katoliki kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Juni.

Tazama pia

Tanbihi

Mugagga Lubowa  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

18863 JuniKanisa KatolikiMfiadiniWafiadini wa UgandaWakristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SanaaTume ya Taifa ya UchaguziHistoria ya AfrikaVidonge vya majiraCristiano RonaldoOrodha ya Marais wa ZanzibarMeta PlatformsTungo sentensiShengNambaMkoa wa KilimanjaroUhakiki wa fasihi simuliziKiambishi tamatiRuge MutahabaOrodha ya milima ya TanzaniaUkwapi na utaoJumuiya ya Afrika MasharikiRicardo KakaKiimboOrodha ya mito nchini TanzaniaHaki za binadamuElimuMajina ya Yesu katika Agano JipyaInshaMagonjwa ya kukuUkimwiNominoMajeshi ya Ulinzi ya KenyaNikki wa PiliMajiMuundoMsamahaNyati wa AfrikaMsituSemiHarmonizeMkoa wa TaboraMpira wa mkonoKiunguliavvjndSikukuu za KenyaAfrika Mashariki 1800-1845Historia ya Kanisa KatolikiMilango ya fahamuNgano (hadithi)Usafi wa mazingiraHistoria ya TanzaniaUaKalenda ya KiislamuBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiSaida KaroliUchaguziUturukiInsha ya wasifuKarafuuMtaalaWanyakyusaAdolf HitlerMkoa wa ArushaUchumiCleopa David MsuyaAgano JipyaChristina ShushoTanganyikaMkopo (fedha)Kamusi za KiswahiliMfuko wa Mawasiliano kwa WoteVisakaleMkoa wa ManyaraBarua rasmiRadiMarie AntoinetteBaraVitamini CUundaji wa manenoWikipedia🡆 More