Mkoa Wa İzmir

İzmir ni jina la kutaja moja kati ya Mikoa ya Uturuki uliopo mjini magharibi mwa Anatolia kwenye pwani ya Bahari ya Aegean.

Mji mkuu wa mkoani hapa ni Izmir. Mji huu ulianzishwa na Wagiriki Smyrna (Kigiriki: Σμύρνη) kunako karne ya 11 KK. Kwa upande magharibi umezungukwa na Bahari ya Aegean, na imefungamana kabisa na Ghuba ya İzmir. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 11,973. Takriban watu 3,769,000 wanaishi mjini hapa (makisio ya 2007). Idadi ya wakazi wa hapa ilikuwa 3,370,866 kunako mwaka wa 2000. Mikoa ya jirani na mkoa ni pamoja na Balıkesir katika upande wa kaskazini, Manisa kwa upande wa mashariki, na Aydın kwa upande wa kusini.

Mkoa Wa İzmir Mkoa wa İzmir
Maeneo ya Mkoa wa İzmir nchini Uturuki
Mkoa Wa İzmir
Maelezo
Kanda: Kanda ya Aegean
Eneo: 11,973 (km²)
Idadi ya Wakazi 3,769,000 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 35
Kodi ya eneo: 0232
Tovuti ya Gavana http://www.i̇zmir.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/i̇zmir

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa İzmir umeganyika katika wilaya zipatazo 30 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Mkoa Wa İzmir  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa İzmir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AnatoliaBahari ya AegeanIzmirKigirikiMikoa ya UturukiMkoa wa AydınMkoa wa BalıkesirMkoa wa ManisaSmyrna

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NgamiaOrodha ya miji ya MarekaniUkatiliOrodha ya miji ya TanzaniaBunge la Afrika MasharikiChama cha MapinduziKiambishiMalipoNdoa katika UislamuMkungaAina za udongoVivumishi vya kumilikiPasaka ya KiyahudiSiafuMkutano wa Berlin wa 1885Injili ya MathayoKitenzi kikuu kisaidiziFasihi andishiPicha takatifuSilabiWasukumaMauaji ya kimbari ya RwandaUzazi wa mpangoUchimbaji wa madini nchini TanzaniaOrodha ya viongoziUti wa mgongoJinsiaInjili ya YohaneStadi za lughaMahakamaMandhariKito (madini)Bata MzingaMadawa ya kulevyaAmri KumiMbwana SamattaWimboPandaDiniKisaweMadiniVieleziLilithMshororoPasifikiTeknolojia ya habariUbuntuMr. BlueUandishi wa inshaManeno sabaKiswahiliMkoa wa TangaMapambano ya uhuru TanganyikaAshokaTabataBenjamin MkapaArudhiTanzania Breweries LimitedMaghaniJoseph Leonard HauleOrodha ya Watakatifu wa AfrikaWayahudiMkoa wa ShinyangaRadiJay MelodyAlasiriKorea KaskaziniHassan bin OmariWagogoAfyaNchiBiashara ya watumwaKukuHistoria ya Kiswahili🡆 More