Mzingo Elektroni

Mzingo elektroni (kwa Kiingereza: electron shell) ni maeneo ya atomi ambayo kikemia elektroni hukadiriwa kupatikana humo, maeneo haya huchukua maumbo ya duara yakikizunguka kiini cha atomi ndani ya elementi.

Mzingo Elektroni
Mfano wa atomu ya natiri Na (sodiamu) yenye mizingo mitatu

Duara hizi hudhaniwa kuwa kama obiti. Kila obiti au mzingo huwa na idadi ya juu ya elektroni zinazoweza kuzunguka mle: mzingo wa kwanza (wa ndani zaidi, iliyo karibu zaidi na kiini) hupokea elektroni hadi 2, mzingo wa pili hadi 8, mzingo wa tatu hadi 18.

Elektroni kwenye mzingo wa nje zinatawala tabia za kikemia za atomu. Mzingo huo ni mzingo valensi unaotawala valensi yaani uwezo wa atomu kushikana na atomu nyingine.

Kama mzingo wa nje unajaa nafasi zote ni atomu thabiti ambazo hazimenyuki kirahisi na elementi nyingine, kwa mfano gesi adimu au metali adimu.


Mzingo Elektroni Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mzingo elektroni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AtomiDuaraElektroniElementiKemiaKiingerezaKiini cha atomiUmbo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

William RutoVirutubishiMaghaniMgawanyo wa AfrikaMtende (mti)Historia ya KenyaMagavanaMsituMitume wa YesuFasihi simuliziMazingiraTungoVivumishi vya pekeeUzazi wa mpango kwa njia asiliaZuhuraFonimuHedhiMuhammadKiranja MkuuOrodha ya volkeno nchini TanzaniaHadithiNomino za jumlaWaluhyaTupac ShakurAmaniLionel MessiHomoniUajemiOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoBendera ya TanzaniaFamiliaPijiniPopoSubrahmanyan ChandrasekharRedioMotoPesaSodomaMtiVielezi vya namnaMadawa ya kulevyaUshogaKongoshoRose MhandoFutiZama za MaweOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoLugha za KibantuOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaShabaniUgandaKamusi ya Kiswahili - KiingerezaTungo kishaziGDakuMusuliUchimbaji wa madini nchini TanzaniaPasaka ya KiyahudiMsokoto wa watoto wachangaBaraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaMapafuMabantuUaUmaskiniIraqSilabiKichomi (diwani)Jakaya KikweteBaruaKumamoto, KumamotoMwakaJumapili ya matawiUfugaji wa kukuVitenziUkabaila🡆 More