Makala haifai.
Kwanza haielezi kitu kuhusu mifumo ya kupanga wachezaji, ila inaongea kiefu kiasi kuhusu umuhimu kuwa na mfumo fulani. Pili lugha si nzuri ("sika" kwenye sentensi ya kwanza), tatu hakuna chanzo chochote. Kama ingekuwa na habari ya maana ningesaidia, hivyo ifutwe tu. 10:15, 18 Oktoba 2019 (UTC)
Wapendwa nilipoanza kuweka masahihisho kadhaa katika makala hii nilichungulia kwanza hadi sasa tumetumia lugha gani, hasa katika makala mama "mpira wa miguu". Nilifuata yale niliyokuta pale naona imeondolewa tena bila kujali lugha za makala mengine ya awali (ambazo si zangu). Sasa haisaidii sana tukiendeleza kuingiza lugha tofautitofauti katika makala mbalimbali bila kujali tutumie msa iati gani kwa jumla. Naona sasa kuna makala mabazo hazikuungaishwa na mengine. Mimi si shabiki wa michezo kwa hiyo tafadhali mpitie angalau makala za soka na mhakikishe msamiati wa pamoja. Kipala (majadiliano) 21:55, 21 Oktoba 2019 (UTC)
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Majadiliano:Mfumo katika soka, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.