Magharibi Mwa Norwei

Magharibi mwa Norwei (Kinorwei: Vestlandet, Vest-Norge, Vest-Noreg) ni kanda iliyopo katika pwani ya bahari ya Atlantiki huko mjini kusini mwa nchi ya Norwei.

Kanda ina-jumlisha baadhi ya majimbo kama vile Rogaland, Hordaland, Sogn og Fjordane, na Møre og Romsdal na kanda ina wakazi wapatao milioni 1.3. Mji mkubwa kabisa katika kanda hii ni Bergen, wa pili kwa ukubwa ni Stavanger. Agder, Vest-Telemark, Hallingdal, Valdres na sehemu za kaskazini mwa Gudbrandsdal zilikuwa katika jimbo hili wakati wa kupanga Magharibi mwa Norwei.

Magharibi Mwa Norwei
Kolagi inayojumlisha miji ya magharibi ambayo ni: Stavanger ·Bergen ·Ålesund ·Selje ·Briksdalsbreen ·Kvitsøy · ·Steinsdalsfossen ·Folgefonna ·Ørsta ·Aurland

Miji

Kanda hii ina miji ipatayo 22. Imewekewa ukubwa kulingana na idadi ya wakazi:

  • Bergen
  • Stavanger
  • Sandnes
  • Ålesund
  • Haugesund
  • Molde
  • Kristiansund
  • Stord
  • Egersund
  • Førde
  • Bryne
  • Florø
  • Åkrehamn
  • Kopervik
  • Jørpeland
  • Odda
  • Ulsteinvik
  • Sauda
  • Fosnavåg
  • Skudeneshavn
  • Måløy
  • Åndalsnes

Wilaya

Magharibi Mwa Norwei 
Moja ya sehemu za kanda hii.

Hizi ni wilaya ambazo zimegawiwa kulingana na mfumo wa utawala wa sasa. Umepangwa kutoka Kaskazini kwenda Kusini.

  • Nordmøre (kikawaida haujumlishwi katika sehemu ya Magharibi mwa Norwei)
  • Romsdal
  • Sunnmøre
  • Nordfjord
  • Sunnfjord
  • Sogn
  • Voss
  • Nordhordland
  • Midthordland
  • Sunnhordland
  • Hardanger
  • Haugaland
  • Ryfylke
  • Jæren
  • Dalane

Majimbo

Ngao Jimbo Makao makuu Mji mkubwa Idadi ya wakazi (2010) Eneo (km²) Msongamano Meya Chama Gavana Muundo wa lugha
Magharibi Mwa Norwei  Hordaland Bergen Bergen 592,300 15,440 31,13 Torill Selsvold Nyborg Christian Democratic Party Lars Sponheim Nynorsk
Magharibi Mwa Norwei  Rogaland Stavanger Stavanger 564,000 9,377 46,07 Tom Tvedt Norwegian Labour Party Harald Thune Bokmål
Magharibi Mwa Norwei  Møre og Romsdal Molde Ålesund 298,400 15,121 16,71 Olav Bratland Conservative Party of Norway Ottar Befring Nynorsk
Magharibi Mwa Norwei  Sogn og Fjordane Leikanger Førde 122,700 18,622 5,77 Nils R. Sandal Centre Party Oddvar Flæte Nynorsk
Jumla 1,577,300 58,560 km² 21,73/km²

Marejeo

Viungo vya Nje


Magharibi Mwa Norwei  Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Magharibi mwa Norwei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Magharibi Mwa Norwei MijiMagharibi Mwa Norwei WilayaMagharibi Mwa Norwei MajimboMagharibi Mwa Norwei MarejeoMagharibi Mwa Norwei Viungo vya NjeMagharibi Mwa NorweiBergenHordalandLugha ya KinorweiMajimbo ya NorweiMøre og RomsdalNorweiRogalandSogn og Fjordane

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kondomu ya kikeHektariRuge MutahabaRamaniKoloniWilaya ya TemekePichaNgeliHistoria ya IranTambikoBinadamuTanganyikaUbungoShairiWahaMunguMilango ya fahamuUvimbe wa sikioKiumbehaiVivumishiHadhiraMange KimambiNgamiaTabianchiRita wa CasciaWameru (Tanzania)Bendera ya TanzaniaMsamahaDaudi (Biblia)IkwetaKanisaBahari ya HindiMsamiatiLatitudoSanaaTungoKiimboAli KibaUnyevuangaNandyTarakilishiMkoa wa TaboraJokate MwegeloAla ya muzikiUzazi wa mpangoMtaalaAgano la KaleMkoa wa MaraUchaguziVitenzi vishiriki vipungufuTarbiaAfrika Mashariki 1800-1845Aunt EzekielNafsiWabunge wa Tanzania 2020Orodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaTawahudiMofimuTanganyika African National UnionMarie AntoinetteTarafaC++Vivumishi vya pekeeRayvannyIsimujamiiKichochoKisukuruGoba (Ubungo)Biashara ya watumwaKisimaNguzo tano za UislamuFasihi simuliziIniUaDiamond Platnumz🡆 More