Finnmark

Finnmark au Finnmárku (Sami ya Kaskazini) ni moja kati ya Majimbo ya Norwei ambalo lipo mno upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi ya Norwei.

Kiinchi imepakana na mipaka ya jimbo la Troms kwa upande wa magharibi, Finland (Lapland) kwa upande wa kusini na Urusi (Murmansk Oblast) kwa upande wa mashariki, na kwa maji, ile Bahari ya Kinorwei (Bahari ya Atlantiki) ipo kwa upande wa kaskazini-magharibi, na Bahari ya Barents (Bahari ya Aktiki) ipo upande wa kaskazini na kaskazini-mashariki.

Finnmark
Mlima Kunsavárri
Finnmark
Mahali pa Finnmark nchini Norwei

Awali jimbo lilikuwa likijulikana kama Finmarkens amt au Vardøhus amt, na tangu 2002, limepata kuwa na majina rasmi mawili: Finnmark (Kinorwei) na Finnmárku (Kisami). Ni moja ya sehemu ya kanda ya Sápmi, ambayo ina eneo la majimbo manne, vilevile Kanda ya Barents, na ni jimbo kubwa lenye wakazi wadogo humo nchini Norwei.

Lipo mjini Kaskazinisana mwa bara la Ulaya, ambapo Norwei inahemea upande wa mashariki, Finnmark daima imekuwa eneo ambapo mashariki yanakutana na magharibi, kiutamaduni na vilevile kiasili na kijiografia. Vardø, manispaa iliyopo mjini mashariki mwa jimbo, lipo mashariki ya mbali zaidi kuliko St. Petersburg na Istanbul.

Manispaa za jimboni hapa

Kwa sasa, kuna takriban manispaa 19 katika Finnmark.

Manispaa za Finnmark
Key Finnmark 
  1. Alta
  2. Berlevåg
  3. Båtsfjord
  4. Gamvik
  5. Hammerfest
  6. Hasvik
  7. Kárášjohka (Karasjok)
  8. Guovdageaidnu (Kautokeino)
  9. Kvalsund
  10. Lebesby
  11. Loppa
  12. Måsøy
  13. Unjárga (Nesseby)
  14. Nordkapp
  15. Porsángu (Porsanger - Porsanki)
  16. Sør-Varanger
  17. Deatnu (Tana)
  18. Vadsø
  19. Vardø

Bibliografia

  • Bjørbæk, Gustav (2003). Norsk Vær i 110 År. Oslo: Damm. ISBN 9788204086952. 
  • Haugan, Trygve B, mhariri (1940). Det Nordlige Norge Fra Trondheim Til Midnattssolens Land. Trondheim: Reisetrafikkforeningen for Trondheim og Trøndelag. 
  • Moen, Asbjørn (1998). Nasjonalatlas for Norge: Vegetasjon. Hønefoss: Statens Kartverk. ISBN 9788290408263. 
  • Norwegian Meteorological Institute (24-hr averages, 1961-90 base period)
  • Tollefsrud, Jan Inge; Tjørve, Even; Hermansen, Pål (1991). Perler i Norsk Natur - En Veiviser. Aschehoug. ISBN 9788203166631. 

Viungo vya Nje

Finnmark 
Wiki Commons ina media kuhusu:

70°N 25°E / 70°N 25°E / 70; 25

Finnmark  Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Finnmark kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bahari ya AktikiBahari ya AtlantikiBahari ya BarentsFinlandMajimbo ya NorweiMurmansk OblastNorweiUrusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya viongoziMuungano wa Tanganyika na ZanzibarOrodha ya Watakatifu wa AfrikaKitenzi kikuuSilabiSelemani Said JafoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuHistoria ya UislamuUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMagomeni (Dar es Salaam)BiasharaHifadhi ya Taifa ya NyerereMadhehebuAzam F.C.Benki ya DuniaIsimuViwakilishi vya pekeeKiboko (mnyama)FalsafaNuktambiliMagonjwa ya kukuKinjikitile NgwaleVivumishi vya kumilikiIyungaOrodha ya miji ya TanzaniaUfupishoAli KibaMbogaAsili ya KiswahiliHistoria ya WasanguBagamoyo (mji)SintaksiLugha rasmiMahindiTiktokJangwaUandishi wa inshaMaadiliKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaVivumishi vya -a unganifuOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaKonsonantiAfande SeleBarabaraMadawa ya kulevyaWaluguruAgano la KaleMohammed Gulam DewjiSentensiTeknolojiaArsenal FCMaajabu ya duniaMmeaFalme za KiarabuMivighaBungeMkoa wa MaraEthiopiaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiBikiraOrodha ya nchi za AfrikaTwigaMjombaKiwakilishi nafsiBendera ya ZanzibarMpwaMaana ya maishaMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaNdoa katika UislamuMafurikoOrodha ya mito nchini TanzaniaMeta Platforms🡆 More