Kristen Welker: Mwandishi wa habari wa televisheni wa Marekani

Kristen Welker (alizaliwa 1 Julai 1976) ni mwandishi wa habari katika kituo cha televisheni NBC Habari.

Ni raia wa Marekani mkazi wa mji wa Washington, D.C..

Kristen Welker
Kirsten Welker
Kirsten Welker
Alizaliwa 1 Julai 1976
Nchi Marekani
Kazi yake mwandishi wa habari

Welker katika majukumu yake ya kazi hushirikiana kikamilifu na Peter Alexander, majukumu yao makubwa ni kama viongozi wasimamizi wa mtandao katika uandishi. Ushirikiano wao pia unakwenda mpaka kwenye nanga ya habari iitwayo wikendi leo.

Mwanadada huyu pia alishiriki kuendesha na kuongoza mdahalo kati ya Donald Trump rais aliyepita wa Marekani na Joe Biden rais wa sasa wa Marekani mnamo Oktoba 22, 2020.

Marejeo

Kristen Welker: Mwandishi wa habari wa televisheni wa Marekani  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kristen Welker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1 Julai1976MarekaniMjiMwandishi wa habariRaiaTelevisheniWashington, D.C.

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Namba tasaUkimwiMwanamkeBarua pepeCristiano RonaldoHarakati za haki za wanyamaVatikaniIsimujamiiMfupaFamiliaKanisa KatolikiMkoa wa ShinyangaJokate MwegeloOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMkoa wa Dar es SalaamOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaHistoria ya UrusiMtaalaUaminifuKarne ya 20MasharikiPasaka ya KikristoKobeOrodha ya vitabu vya BibliaWachaggaOrodha ya volkeno nchini TanzaniaMapambano ya uhuru TanganyikaSaa za Afrika MasharikiMamba (mnyama)NenoNathariViwakilishi vya pekeeUbunifuFerbutaChemchemiViunganishiUzazi wa mpangoHarrison George MwakyembeOrodha ya makabila ya TanzaniaMadhara ya kuvuta sigaraKisononoIntanetiOrodha ya Watakatifu WakristoUtandawaziJamhuri ya Watu wa ChinaOrodha ya Marais wa ZanzibarMikoa ya TanzaniaTowashiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaBiashara ya watumwaHadhiraMsumbijiBaruaPanziMaambukizi ya njia za mkojoOrodha ya Magavana wa TanganyikaKilimoMbwana SamattaUmaskiniHaki za wanyamaKenyaUshogaDaniel Arap MoiMkoa wa KigomaWilaya za TanzaniaIsraelMichezo ya watotoMaana ya maishaJohn MagufuliRaiaShabaniNimoniaLafudhiAndalio la somoSumakuHistoria ya Kanisa Katoliki🡆 More