Joseph Robinette Joe Biden Jr.
Joe Biden | |
Aliingia ofisini Januari 20, 2021 | |
Makamu wa Rais | Kamala Harris |
---|---|
mtangulizi | Donald Trump |
Muda wa Utawala Januari 3, 1973 – Januari 15, 2009 | |
mtangulizi | J. Caleb Boggs |
aliyemfuata | Ted Kaufman |
tarehe ya kuzaliwa | Novemba 20 1942 Scranton, Pennsylvania, Marekani |
utaifa | Marekani |
chama | Democratic |
ndoa | Jill Biden |
watoto | Beau Biden (b. 1969) Hunter Biden (b. 1970) Naomi "Amy" Biden (b. 1971) Ashley Biden (b. 1981) |
signature | |
tovuti | Joe Biden |
Kuanzia mwaka wa 1973 hadi 2009 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Delaware. Halafu alikuwa Makamu wa Rais wa Marekani chini ya Rais Barack Obama kuanzia mwaka wa 2009 hadi 2017, akiwa Mkatoliki wa kwanza na pia Mdelaware wa kwanza kuwa Kaimu Rais.
Mnamo Machi wa mwaka 2019, Biden alitangaza kugombea nafasi ya Rais wa Marekani mwaka 2020. Biden alishinda uchaguzi mkuu kwenye Novemba 2020 dhidi ya rais aliyetangulia Donald Trump.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joe Biden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Joe Biden, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.