Krete

Krete (kwa Kigiriki Κρήτη, Kríti, matamshi ya kale, Krḗtē) ni kisiwa kikuu na chenye watu wengi zaidi cha Ugiriki, na ni cha tano katika Bahari ya Kati, baada ya Sicily, Sardinia, Cyprus na Corsica.

Krete
Bandari ya Heraklion.

Pamoja na visiwa vya jirani vya bahari ya Aegean kinaunda mkoa wa Krete (Περιφέρεια Κρήτης), mmoja kati ya 13 ya nchi nzima. Mwaka 2011, mkoa huo ulikuwa na wakazi 623,065.

Mji mkuu na mji mkubwa ni Heraklion.

Krete ni sehemu muhimu ya ustaarabu na uchumi wa Ugiriki ukidumisha upekee wake katika utamaduni (kwa mfano upande wa ushairi na muziki).

Historia

Zamani (2700–1420 KK hivi) Krete ilikuwa kiini cha ustaarabu wa Minoa, wa kwanza kustawi huko Ulaya.

Inatajwa na Biblia pamoja na tabia za wakazi wake.

Katika miaka ya 60 Mtume Paulo alimuacha huko askofu Tito ili aweke wakfu mapadri katika kila mji. Halafu alimuandikia barua maarufu.

Tanbihi

Vyanzo

  • Panagiotakis, Nikolaos M. (1987). "Εισαγωγικό Σημείωμα ("Introduction")". Katika Panagiotakis, Nikolaos M. Crete, History and Civilization (kwa Greek) I. Vikelea Library, Association of Regional Associations of Regional Municipalities. ku. XI–XX. 

Viungo vya nje

Krete 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Krete  Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Krete kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Krete HistoriaKrete TanbihiKrete VyanzoKrete Viungo vya njeKreteBahari ya KatiCorsicaCyprusKigirikiKisiwaSardiniaSicilyUgiriki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WasafwaMwanaumeDubaiAsiaVasco da GamaUsafi wa mazingiraUgonjwa wa moyoBrazilJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoRihannaDar es SalaamRamadan (mwezi)Vidonge vya majiraBikira MariaDiniBunge la TanzaniaWikimaniaDhamiriPalestinaKutoka (Biblia)Nyasa (ziwa)Vitenzi vishirikishi vikamilifuANyanda za Juu za Kusini TanzaniaAsili ya KiswahiliKitenzi kikuu kisaidiziTabataMkoa wa ArushaUjasiriamaliOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaUbuyuRobin WilliamsUkwapi na utaoShirika la Utangazaji TanzaniaAina za manenoSherehePentekosteFigoHifadhi ya mazingiraUti wa mgongoHoma ya dengiKaswendeMnyamaMbuMasharikiKataUenezi wa KiswahiliTashihisiIndonesiaHistoria ya AfrikaItaliaIniUtafitiBukayo SakaHarmonizeMkoa wa MaraShikamooChawaDhahabuBotswanaTesistosteroni28 MachiMeliMuungano wa Tanganyika na ZanzibarBiasharaMtandao wa kompyutaKukiUzazi wa mpangoHoma ya iniMsalabaOrodha ya Watakatifu wa AfrikaWikipediaKiunzi cha mifupaJumuiya ya Madola🡆 More