Korean Broadcasting System (KBS) (kwa Kikorea: 한국방송공사, Hanguk Bangsong Gongsa) ni mtangazaji wa kitaifa wa Korea Kusini.
Ilianzishwa mnamo 1927, na inafanya kazi kwa redio, runinga, na huduma za mkondoni, ikiwa mojawapo ya mitandao kubwa zaidi ya runinga ya Korea Kusini.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Korean Broadcasting System kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Korean Broadcasting System, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.