Kisiwa cha Kaskazini (kwa Kiingereza: North Island; kwa Kimaori: Te Ika a Máui) ni kimoja kati ya visiwa vikuu viwili vya New Zealand.
Mlangobahari wa Cook unakitenganisha na Kisiwa cha Kusini.
Kisiwa hicho kina eneo la km2 113m729 na wakazi 3,287,600 (Juni 2009). Karibu asilimia 76 za watu wa New Zealand wanaishi katika Kisiwa cha Kaskazini.
Miji kumi na miwili iko katika Kisiwa cha Kaskazini, pamoja na mji mkubwa wa Auckland. Mji mkuu wa Wellington unapatikana kwenye sehemu ya kusini ya kisiwa.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kisiwa cha Kaskazini (New Zealand), which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.