Kio'du ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wao'du.
Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kio'du nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Pia kuna wasemaji 650 nchini Laos (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kio'du iko katika kundi la Kikhmuiki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kio'du kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kio'du, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.