Kilima

Kilima ni mwinuko wa ardhi ambao uko juu kuliko eneo linalouzunguka lakini ni mdogo kuliko ule wa mlima.

Vilima ni miinuko ya chini kuliko milima. Kwa lugha nyingine ni mlima mdogo, kama Kiswahili kinavyoonyesha wazi. Uso wa kilima ni imara kuliko ile ya tuta la mchanga.

Kilima
Vilima.

Hakuna ufafanuzi kamili unaokubaliwa kote kuhusu tofauti kati ya kilima na mlima. Katika sehemu za tambarare mwinuko wa mita mia kadhaa unaweza kuitwa "mlima", kinyume chake katika sehemu za milima mirefu mwinuko wa mita 1000 unaweza kuitwa "kilima". Kwa mfano, miinuko ya Ngong karibu na Nairobi huitwa "Ngong Hills" ingawa inafikia kimo cha zaidi ya mita 2,000 juu ya usawa wa bahari. Kwa jumla kilima hutazamwa kuwa kidogo na bila mtelemko mkali kama mlima kamili.

Asili ya vilima mara nyingi ni sawa na asili ya milima; kunjamano ya ganda la Dunia au vilima kama mabaki ya miinuko mirefu zaidi, kwa mfano kutokana na mmomonyoko wa milima mikubwa.

Tags:

KiswahiliLughaMlimaTuta la mchanga

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uwanja wa Taifa (Tanzania)MivighaUkristo nchini TanzaniaNikki wa PiliPamboMaambukizi nyemeleziKata za Mkoa wa Dar es SalaamOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoHafidh AmeirMnururishoJohn MagufuliWaluguruUpinde wa mvuaTungo kishaziMachweoBidiiMwanzo (Biblia)Julius NyerereOrodha ya miji ya TanzaniaArusha (mji)DhamiraJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMishipa ya damuMasharikiMkuu wa wilayaSayansi ya jamiiFasihi andishiNguzo tano za UislamuVisakaleMaji kujaa na kupwaPijiniKihusishiSemiSimba (kundinyota)KenyaKisaweMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMkoa wa MorogoroHistoria ya WapareMobutu Sese SekoMuda sanifu wa duniaLiverpoolMuundoOrodha ya nchi kufuatana na wakaziLionel MessiMwakaChumba cha Mtoano (2010)Maajabu ya duniaWizara ya Mifugo na UvuviMkoa wa TangaUmememajiOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUbongoTetekuwangaFasihiRejistaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaGeorDavieKisimaUundaji wa manenoMaradhi ya zinaaKutoa taka za mwiliLahajaUkwapi na utaoMichael JacksonHaki za binadamuUmoja wa AfrikaUsanifu wa ndaniAli KibaInsha za hojaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaRedioMkoa wa KataviUtandawaziUDA🡆 More